Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Cha muhimu sio kingereza chake ni ufanisi wa yote anayoyaanzisha na yakawa na faida kwa jamii pana ya Tanzania.
Cha muhimu sio kingereza chake ni kutovumilia urasimu wowote wenye harufu ya upigaji ndani yake.
Cha muhimu sio kingereza chake ni ukaribu na wananchi anaowaongoza na uwezo wa kuyapigania maslahi yao.
Cha muhimu sio kingereza chake bali ni kuifungua nchi kw amiundo mbinu wezeshi kwenye sekta mbalimbali za kiuchumi.
Tumeshakuwa na mawaziri wenye kuongea kingereza kama wabunge wa Uingereza na walichofanya cha maana hakuna zaidi ya ufisadi.
Ni akili za kitoto sana kujadili kingereza cha mtu halafu ukaachana na uwezo wake kikazi.