Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Hao wenye strong command ya kingereza walilaumiwa kwa mambo mengi tu.Sio kweli kwamba utajiri wa nchi au pesa za nchi zinasambazwa kila mahali. Zimetumika kujenga int. airport ya chàto, kununua ndege etc. Vilvile nadhan umeshasikia mh. rais akisema hapeleki maendeleo mahali ambapo muwakilishi wa wananchi ni wa chama tofauti na ccm. Na sio rais tu hata viongozi wengine wa ccm na serikali nao wanasems hivo. Ofisi ya CAG nayo imezuiws kukagua baadhi ya miradi. Ktk mawasiliano (lugha) dunia imegawanyika ktk maeneo au kanda zenye kutumia lugha tofauti za mawasiliano kimataifa. kiingereza, kifaransa, kichina, kiarabu, kiurusi na labda kihispania. Sisi we fall under kiingereza (anglophone). Kiswahili haitambuliki kama lugha ya kimataifa. Tukitaka kukuza kiswahili iwe lugha ya kimataifa nadhani kuna njia za kitaalam za kutumia, na sio kumtumia rais. Anayo majukumu yake mengine mengi ya kutekeleza. Sasa rais kukosa strong command ya kiingereza (kama ni kweli), kwa nchi iliyo ukanda wa anglophone ni shida. Ni aibu. Hatuwezi kujitetea oh mbona kina Putin, Merkel, Japanese pm etc hawajui english. Wao anatumia lugha nyingine zinazotamulikana kimataifa. Huwezi kwenda UN uhutubie kwa kiswahili, hakitambuliki huko. Rais wa JMT (our top diplomat) anatakiwa awe mtu anayeweza kutiririka kiingereza. Kama kuna udhaifu tuukubali kinyenyekevu na tuushughulikie ipasavyo.
Kikwete kahudhuria sana forums za World bank lakini ni katika uongozi wake makontena yamepita bure bandarini.
Tuna wajinga wengi tu kwenye jamii zetu wanaongea kingereza cha malkia.
Hizo habari za Chato uwanja wa ndege ni siasa nyepesi sana.
Hapa Dar zinajengwa flyover nane na zenyewe ni sehemu ya chato?.
Zinajengwa zahanati, mashule na upanuzi mkubwa wa bandari na vyenyewe vyote ni Chato?.
Acheni siasa nyepesi za mitandaoni.