Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli kabisa. Acha wale tu kodi zetuSema ni Ile Maafisa Wengi wa Bongo ni weupe Sana. Utamkuta mtu kajaa ndani ya Ofisi au gari ya umma utasema ana contents , bwana wee kaa nae Sasa au anachokiwaza. Mademu au kudanga au kuchoma nyama msalato na pombe. Trump alikuwa sahihi
Kwa Tz mtu anasoma sana ili apate kazi nzuri na ajira nothing elseHivi Dr. Philip Mpango analijua hili?
Kama Dr. Analijua basi hakuna haja ya phd. Tukomee form four tu kujua kuweka saini.
Naona unaona aibu kwa washauri wa Mama
Na Samia kaweza kazi?Wasaidizi wa Rais Samia wameshindwa kumshauri katika utekelezaji wa majukumu yake. Katika Masuala nyeti ya Uchumi na Sheria.
1. Dkt. Blandina Kilama, Msaidizi wa Rais Uchumi.
2. Nehemia Ernest Mandia Msaidizi wa Rais Sheria.
Hawa wameshindwa kazi.