Washauri wa Rais Samia watenguliwe

Washauri wa Rais Samia watenguliwe

Hivi Dr. Philip Mpango analijua hili?

Kama Dr. Analijua basi hakuna haja ya phd. Tukomee form four tu kujua kuweka saini.
 
Sema ni Ile Maafisa Wengi wa Bongo ni weupe Sana. Utamkuta mtu kajaa ndani ya Ofisi au gari ya umma utasema ana contents , bwana wee kaa nae Sasa au anachokiwaza. Mademu au kudanga au kuchoma nyama msalato na pombe. Trump alikuwa sahihi
Hii ni kweli kabisa. Acha wale tu kodi zetu
 
Wasaidizi wa Rais Samia wameshindwa kumshauri katika utekelezaji wa majukumu yake. Katika Masuala nyeti ya Uchumi na Sheria.

1. Dkt. Blandina Kilama, Msaidizi wa Rais Uchumi.

2. Nehemia Ernest Mandia Msaidizi wa Rais Sheria.

Hawa wameshindwa kazi.
Na Samia kaweza kazi?
 
Back
Top Bottom