Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo utakuta hao wasaidizi ni vilaza wa sheriaWasaidizi wa Raisi Samia wameshindwa kumshauri katika utekelezaji wa majukumu yake. Katika Masuala nyeti ya Uchumi na Sheria.
1.Dkt.Blandina Kilama ,Msaidizi wa Raisi Uchumi.
2.Nehemia Ernest Mandia Msaidizi wa Raisi Sheria.
Hawa wameshindwa kazi.
.Dah, nimeandika nikafuta
Eti Inabi ime-match na viatu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukute hao washauri maswala pekee wanayoulizwa ni kama hijab ime match na viatu.
Wanaotoa ushauri hasa wala hawana ajira Ikulu ila ndio wenye kauli. Wenye shughuli zao hawatumiwi.
Mi nataka za huyo manzituwekee namba zao
Rais haingii mkataba ila serikali ,mshauri binafsi wa Rais haishauri Serikali anatoa ushauri kwa Rais na anawajibika kwa Rais pale anapoombwa ushauri .Hapo Wa kuwajibika ni AG ambaye ni mshauri mkuu wa serikali kwenye Sheria.