WAFUNGULIE MASHTAKA KUPITIA SHERIA YA PERSONAL DATA PROTECTIONMmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa? Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe mubebezi yupo huko mbali nimemuaga nalala wewe asubuhi asubuhi umeshaanza kunipostπ€π€π€π€
Nacheza ukumbini nimechangamka nimeshameza vyupa vyangu wewe unanichukua video unautangazia ulimwenguπππππ
Acheni hizi mambo bhana zinaboa kishenzi!!
HapanaTukikaa kama Tuko msibani patanoga kweli mkuu?
Wanaboa Sana,kwa upande wangu Bora picha za kawaida,hizi za kwenye sherehe hiziπ€π€π€π€π€π€ kama unavyojua kuna kina Sisi Huwa tunajizima data!Nilimpeleka mtoto wangu kupiga picha za bday ya mwaka 1, nikakuta ile studio wamepost picha za mtoto wangu kwenye mitandao ya kijamii.
Yule kaka hatokaa kunisahau..!
Akileta ubishi nenda vyombo vya sheriaNgoja mtu ajichanganye tena,Sasa hivi Huwa namfuata Tu DM namwambia afute basi!
Yanaboa Sana una vibe zako linaanza kuchombeza chombeza Kumbe linakuchukua video ili baadae litangazie ulimwengu!π¬π¬π¬π¬π¬Wanywa vyoda ndio wana tabia za kimbeya mbeya , hata bar utayakuta yanakodoa macho kama bundi kusaka umbeya tu
Kuna night club moja nimegida vitu vyangu , michichu miwili miwili tunacheza kizungu, nakuta picha video b mkubwa katumiwa , wanywa vyoda na walokole ni jamii ya hovyo snaYanaboa Sana una vibe zako linaanza kuchombeza chombeza Kumbe linakuchukua video ili baadae litangazie ulimwengu!π¬π¬π¬π¬π¬
Hili ni ngumu kuepukika, ukikoswa na MC unajikuta kwenye page za wasiojulikanaHata ukinywa juisi ya embe unajikuta umepostiwa eti mgeni mualikwaππππ
Ukiachana na mc kazi ya kuchukua mapicha wanafanya wanywa vyodaHili ni ngumu kuepukika, ukikoswa na MC unajikuta kwenye page za wasiojulikana
Ukifanya tukio zuri hawapost ila matukio ya watu kujidhalilisha ndio wanayapostWanaboa Sana,kwa upande wangu Bora picha za kawaida,hizi za kwenye sherehe hiziπ€π€π€π€π€π€ kama unavyojua kuna kina Sisi Huwa tunajizima data!
Vyovyote vile, hata hao wanywa vinywaji vikali wanaweza kufanya hivyo, ukiwafurahisha au ukitia aibu unachukuliwa.Ukiachana na mc kazi ya kuchua mapicha wanafanya wanywa vyoda