HOJA Washereheshaji (MCs) hii tabia ya kuchukua video au picha bila idhini na kuzipost kwenye kurasa zenu mnaona ni sawa?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mwanike wawiza
 
Usiende kwenye sherehe tu yoyote

Ova
Kila mtu na namna yake ya kufurahi kuna kina Sisi tukichangamana na watu kama hivyo kwenye matukio ya furaha ni burudani swaaafi kabisa!
Tatizo ni hao ma MCs wanaojizima data kutupost eti mgeni mualikwaπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Kupost picha za watu wengi Sio shida,tatizo ni pale anakupost peke yako Tu eti mgeni mualikwaπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 

Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…