koba lee
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 981
- 1,606
Wakuu habari za majukumu,
Nisiwachoshe nidumbukie kwenye mada. Najua wengi hamko tayari kukiri ila ni ukweli kua wengi huwa tunacheza hii michezo ya kubahatisha ukiwemo huu wa mchongo pesa. Sasa tatizo ni kua mbona wanashinda wengine?
Mimi nina entries zaidi ya 120 lakini kushinda sishindi, vp wewe mdau mwenzangu hua haikufikirishi na kuanza kuhoji ukweli wa hii kitu. Inawezekana hii ya kuitwa Clouds Media imetugeuza njia ya kupiga hela?
Ebana kama ushawahi kushinda naomba uje humu uandike hata comment fupi tu
Asante.