Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Umemaliza! Uzi ufungwe! Hawapo kutajirisha wanaocheza, bali kujitajirisha wao, ambao wamejiwekea masharti eti hawaruhusiwi kucheza na ndugu zao!Wanatajirika wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza! Uzi ufungwe! Hawapo kutajirisha wanaocheza, bali kujitajirisha wao, ambao wamejiwekea masharti eti hawaruhusiwi kucheza na ndugu zao!Wanatajirika wao
Hongera Kumbe hua unacheza maana binafsi Mimi hua siamini.Leo ndo kuna Jackpot ya mil. 9 na bodaboda. Nisiposhinda hii sichezi tena.
Katika maisha Always Be you and don't compare!!
Huyo anayekula 100m do you know the secret behind mpaka kula kiasi chote hko na Kama Ni ujanja kwann wewe hujawah kula pesa Kama hyo...
Hujui chochote kuhusu betting...Ndio yale Yale mkuu we mwanaume ulishaambiwa utakula kwa jasho so Pambana....In short Betting inakuweka mbali na imani ya kumuamini Mungu coz unaamini in your real sense kwamba kuptia Kamal I will be successful kitu ambacho not true But the principal of God anataka umuamini kuwa atakupa pesa ya kiwango chako kutokana na uhitaji kwa kufanya kazi kwa bidii...shida tunapenda Excess money kwa ajil ya matanuzi na anasa.
"Take the concept rather than content"Hujui chochote kuhusu betting...
Unaposema dini imekataza betting jitahidi utaje dini gani maana wengine dini zetu hazijakataza.Katika maisha Always Be you and don't compare!!
Huyo anayekula 100m do you know the secret behind mpaka kula kiasi chote hko na Kama Ni ujanja kwann wewe hujawah kula pesa Kama hyo...
Hata nikikupa scriptures bado haitakusaidia kwasababu ushasema nisikupangie maisha...so you'll reap what you saw.Kila mtu na maisha yake acha kumpangia mtu cha kufanya, kama wewe betting ni haram kwako wengine sisi tunabet kama kawaida tusipangiane na kila mtu abaki na imani yake. Nitajie mistar ya kwenye bible na quran inayoonesha betting ni haram.
Zote.....Uislam imekataza in "direct scriptures" ukristo imekataza in "indirect scriptures"Unaposema dini imekataza betting jitahidi utaje dini gani maana wengine dini zetu hazijakataza.
Huwezi kula bila kuliwaWakuu habari za majukumu,
Nisiwachoshe nidumbukie kwenye mada. Najua wengi hamko tayari kukiri ila ni ukweli kua wengi huwa tunacheza hii michezo ya kubahatisha ukiwemo huu wa mchongo pesa. Sasa tatizo ni kua mbona wanashinda wengine?
Mimi nina entries zaidi ya 120 lakini kushinda sishindi, vp wewe mdau mwenzangu hua haikufikirishi na kuanza kuhoji ukweli wa hii kitu. Inawezekana hii ya kuitwa Clouds Media imetugeuza njia ya kupiga hela?
Ebana kama ushawahi kushinda naomba uje humu uandike hata comment fupi tu
Asante.
OkZote.....Uislam imekataza in "direct scriptures" ukristo imekataza in "indirect scriptures"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo ndo kuna Jackpot ya mil. 9 na bodaboda. Nisiposhinda hii sichezi tena.
Pole sana mkuu.Mkuu nimeangukia pua