Ndio maana ya bahati nasibu, unaweza kucheza hata kwa miaka 20 na usibahatike kushinda na mwingine akacheza mara moja tu akashinda.Wakuu habari za majukumu,
Nisiwachoshe nidumbukie kwenye mada. Najua wengi hamko tayari kukiri ila ni ukweli kua wengi huwa tunacheza hii michezo ya kubahatisha ukiwemo huu wa mchongo pesa. Sasa tatizo ni kua mbona wanashinda wengine? Mimi nina entries zaidi ya 120 lakini kushinda sishindi, vp wewe
Me nakushaur bro tafuta pesa yako kwa niia halali Mungu atakubariki Zaid achana na maswala ya betting we mwenyew jiulze umekula Mara ngapi tangu uanze utajikuta pesa unayopoteza unaweza kupata hata mtaji wa genge kuliko unachokula..Think Twice!!
Kibeti ukipigwa unajua kabisa nimepigwa kihalaliMara100 abet tu[emoji28]
Kwani unadhani wanaochezesha bahati nasibu hawajalenga faida?Hao jamaa ni wahuni sana, twende taratibu kwa siku wanaweza toa hadi 8m sasa piga mara 30 unapata 240m kwa mwezi[emoji28][emoji28].
Wanacheza na akili zetu kwamba kwa mwezi Watu 240,000 wanacheza so hapo hujapiga hesabu za kodi na faida yao. Unakuja kugundua hapo ni mchongo na hakuna pesa hapo ila wajinga ndo waliwao[emoji28]
Inawezekana hii ya kuitwa Clouds Media imetugeuza njia ya kupiga hela?
Ndio yale Yale mkuu we mwanaume ulishaambiwa utakula kwa jasho so Pambana....In short Betting inakuweka mbali na imani ya kumuamini Mungu coz unaamini in your real sense kwamba kuptia Kamal I will be successful kitu ambacho not true But the principal of God anataka umuamini kuwa atakupa pesa ya kiwango chako kutokana na uhitaji kwa kufanya kazi kwa bidii...shida tunapenda Excess money kwa ajil ya matanuzi na anasa.Mara100 abet tu[emoji28]
Ndio yale Yale mkuu we mwanaume ulishaambiwa utakula kwa jasho so Pambana....In short Betting inakuweka mbali na imani ya kumuamini Mungu coz unaamini in your real sense kwamba kuptia Kamal I will be successful kitu ambacho not true But the principal of God anataka umuamini kuwa atakupa pesa ya kiwango chako kutokana na uhitaji kwa kufanya kazi kwa bidii...shida tunapenda Excess money kwa ajil ya matanuzi na anasa.
Katika maisha Always Be you and don't compare!!Oya kama unahela wewe bet kila mtu Mungu anajua riziki yake ndomana kuna anae bet anashinda mpaka 100m hio ni bahat au riziki yake ilishapangwa na kufanikiwa inataka akili na ujanja. Si bora mtu anaebet kuliko anaekula rushwa uyo akishinda ni jasho lake na anaekula rushwa??. Acha propaganda