Washindi wa Mchongo Pesa ni halali au uhuni unafanyika?

Katika maisha Always Be you and don't compare!!
Huyo anayekula 100m do you know the secret behind mpaka kula kiasi chote hko na Kama Ni ujanja kwann wewe hujawah kula pesa Kama hyo...

Kila mtu na maisha yake acha kumpangia mtu cha kufanya, kama wewe betting ni haram kwako wengine sisi tunabet kama kawaida tusipangiane na kila mtu abaki na imani yake. Nitajie mistar ya kwenye bible na quran inayoonesha betting ni haram.
 
Hujui chochote kuhusu betting...
 
Katika maisha Always Be you and don't compare!!
Huyo anayekula 100m do you know the secret behind mpaka kula kiasi chote hko na Kama Ni ujanja kwann wewe hujawah kula pesa Kama hyo...
Unaposema dini imekataza betting jitahidi utaje dini gani maana wengine dini zetu hazijakataza.
 
Kila mtu na maisha yake acha kumpangia mtu cha kufanya, kama wewe betting ni haram kwako wengine sisi tunabet kama kawaida tusipangiane na kila mtu abaki na imani yake. Nitajie mistar ya kwenye bible na quran inayoonesha betting ni haram.
Hata nikikupa scriptures bado haitakusaidia kwasababu ushasema nisikupangie maisha...so you'll reap what you saw.

Closed.
 
Unaposema dini imekataza betting jitahidi utaje dini gani maana wengine dini zetu hazijakataza.
Zote.....Uislam imekataza in "direct scriptures" ukristo imekataza in "indirect scriptures"
 
Huwezi kula bila kuliwa
 
Ni kweli watu wanashinda, kwasabab yule kashinda usilazimishe wewe uliyecheza mara 100 ushinde pia ukikosa ujue huna bahat, bahat ni yahuyo aliyecheza mara moja tu akapata let's say 10M...
Kwa mfano huo mchezo wa 1,000 ina maana mkicheza watu 10,000 wao wanaingiza 100M sasa kwanin waone tabu kutoa 10m wakat wao faida ni 90M 😅
 
Kamali ni kama michezo ya pyramid. Wanakusanya fedha nyingi kwa watu na kumlipa mmoja wa hao waliochangia kiasi fulani cha pesa ambacho kiukweli ni kiduchu. Ile baki inarudi kwao na faida yake ni kubwa sana. Akili mukichwa, kazi yao ni kukusanya tu pesa na kukuhakikishia kuwa waweza kushinda ukicheza zaidi na zaidi. Na kwa bahati mbaya michezo hii hujenga uraibu, ukishaanza kuacha ni kazi, hasa ukiwaona wenzio ambao wamefanikiwa kupata zawadi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…