WASHINGTON DC: Marekani yakubali kutuma vifaru 31 aina ya M1 Abrams nchini Ukraine

WASHINGTON DC: Marekani yakubali kutuma vifaru 31 aina ya M1 Abrams nchini Ukraine

Hio miezi mitatu urusi atakuwa anawasubiria tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]??? Poleni sana

Kama walimwambia tarehe flan tutaanza counteroffensive kherson na kharkiv waka subiria watashindwaje kumsubiria vimiezi vitatu?

Kama waliweza kusubir HIMARS zije watashindwa nn kumsubiria Baba ibrahim na chui kuna ndoige wanaandaliwa wakae kwa kutulia.
 
kama walimwambia tarehe flan tutaanza counteroffensive kherson na kharkiv. waka subiria watashindwaje kumsubiria vimiez vitatu?
kama waliweza kusubir HIMARS zije watashindwa nn kumsubiria Baba ibrahim na chui kuna ndoige wanaandaliwa wakae kwa kutulia.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wacha wawafungie exit then wawakaange tuone hizo tank wataendesha mizimu au
 
Naona raia tunaponda process za vifaru hivyo kuanza kazi hapo Ukraine. Tunajiona tunajua kuliko serikali za hayo mataifa.

Ninachokiona hapa ni kwamba, bado ngoma mbichi kabisa. NATO wana silaha nyingi kuzifikisha Ukraine, upande wa russia ameshatumia pengine ya 80% ya uwezo wake wa kijeshi, na alifanya hivi ili awahi kuiteka Ukraine ila ndo hivyo ameshachemka.

NATO walishasema nia yao ni kuona vita inachukua muda mrefu zaidi, mambo yote haya wanayofanya sio kwa bahati mbaya au kukosea, wao ndo wanajua kesho ya vita ikoje.

Wewe ndiyo mbumbumbu na takataka kabisa! Kwa hiyo wanapenda vita vichukue muda mrefu zaidi ili raia waendelee kuangamia siyo?
 
Kwahiyo wanamipango ya kuendelea kupigana mpaka mwezi wa SITA huko?
Wewe ufuatilii mambo, US amemumbia Ukraine kwamba haiwezekani kuwatoa Russia mwaka huu ila vita viende mpaka mwakani. Kiufupi NATO wanataka viende mpaka mwakani, ili URUSI afilisike kimapato, maana wanasema URUSI kuivamia Ukraine ni fursa iliojileta yenyewe, na ndio wakati sahihi wa URUSI kupotea taratibu, na kusimikwa kwa New World Order kilanja watakua ni G7. Wanasema Shirikisho la URUSI litagawanyika, maana kuna jamii hazitavumilia dhiki.
 
Inaonesha wewe ni shabiki wa vita badala ya kutoa ushauri namna vita vinavyoweza kumalizika! Subiri siku Urusi itakapoamua kutumia silaha za nyuklia ndipo uujue mwisho wa dunia upoje, maana hapa Urusi inapigana na mataifa yote ya magharibi na siku itakapozidiwa na Putin kuamua kubonyeza kitufe cha kuruhusu silaha za nyuklia nfipo utajua uchungu wake kama utabahatika kuwepo hapa duniani! Silaha za nyuklia zikivurumishwa dunia nzima hakuna atakayepona na hicho ndicho mataifa ya magharibi yanapoogopa kupeleka askari wake front line maana wanajua muziki wake, badala yake yanapapigana indirectly kwa kujibanza nyuma ya Ukraine!
Hizo Nuklia ndizo tunazozitaka, wewe unaogopa nini. Zimetengezwa acha zitumike, dunia tunapita tu. Alafu Putin sio chizi kama wewe, anajua akitumia Nuklia yeye hatopona, Kumbuka URUSI ina miji 2 tu muhimu(Moscow na Santa Petersburg), Nuklia zitamuasili sana URUSI kuliko Mataifa 50 ya magharibi maana wenzake wanna majiji mengi hawezi kuwawahi. Pia Ukraine hawaogopi Nuklia maana wanavyo viwanda vya Nuklia na washawai kumiliki hizo Nuklia kabla hawajazipeleka kwa URUSI ili ziangamizwe, pia wamewai kulipukiwa na kiwanda cha Nuklia (Chernobyl Nuklia disaster) hapo hapo Ukraine katika mkoa wa Chernihiv, ambapo iliasiri mpaka Urusi na Belarus, so mwambie Putin apige sio kuongea tu mwaka mzima. URUSI ni mvamizi lialia, unavamia wewe na unalia wewe.
 
Kwa hiyo nani hana hiyo nyuklia au hiyo nyuklia yenyewe inaijua Russia kwa hiyo haiwezi kuwadhuru, ebu jaribu basi kutumia akili hata kidogo.
 
Wewe ndiyo mbumbumbu na takataka kabisa! Kwa hiyo wanapenda vita vichukue muda mrefu zaidi ili raia waendelee kuangamia siyo?
Takataka ni wewe usiyejitambua. Nenda kwenye thread kuu kasoma posts za march 2022 uone kile NATO walichosema, walitenga bajeti ya kuisaidia ukraine miaka 5.

Kama unamuona mwanadamu mwenzio takataka, basi hata waliokuzaa wanaweza wakawa takataka kabisa pia. Jaribu kuheshimu mawazo ya mtu hata kama hukubaliani nayo.
 
Wewe ufuatilii mambo, US amemumbia Ukraine kwamba haiwezekani kuwatoa Russia mwaka huu ila vita viende mpaka mwakani. Kiufupi NATO wanataka viende mpaka mwakani, ili URUSI afilisike kimapato, maana wanasema URUSI kuivamia Ukraine ni fursa iliojileta yenyewe, na ndio wakati sahihi wa URUSI kupotea taratibu, na kusimikwa kwa New World Order kilanja watakua ni G7. Wanasema Shirikisho la URUSI litagawanyika, maana kuna jamii hazitavumilia dhiki.
NATO walishatenga bajeti ya miaka 5 kwa kuisaidia Ukraine. Ngoma bado ni mbichi kabisa hii, jamaa ndio wanaamua vita vichukue muda gani.

Na hapo bado hawajatuma ndege, meli n.k kama misaada ya kivita huko ukraine.
 
Hizo Nuklia ndizo tunazozitaka, wewe unaogopa nini. Zimetengezwa acha zitumike, dunia tunapita tu. Alafu Putin sio chizi kama wewe, anajua akitumia Nuklia yeye hatopona, Kumbuka URUSI ina miji 2 tu muhimu(Moscow na Santa Petersburg), Nuklia zitamuasili sana URUSI kuliko Mataifa 50 ya magharibi maana wenzake wanna majiji mengi hawezi kuwawahi. Pia Ukraine hawaogopi Nuklia maana wanavyo viwanda vya Nuklia na washawai kumiliki hizo Nuklia kabla hawajazipeleka kwa URUSI ili ziangamizwe, pia wamewai kulipukiwa na kiwanda cha Nuklia (Chernobyl Nuklia disaster) hapo hapo Ukraine katika mkoa wa Chernihiv, ambapo iliasiri mpaka Urusi na Belarus, so mwambie Putin apige sio kuongea tu mwaka mzima. URUSI ni mvamizi lialia, unavamia wewe na unalia wewe.
Nuclear sio rahisi kutumika na russia, alishaambiwa akijaribu tu atakutana na mkono mzito.
 
Training

Kuondoa system za nato

Kuweka system za ukraine
 
We unafikiri kifaru ni kama bodaboda unajifunza kuendesha usiku kwenye kiwanja cha mpira, asubuhi unabeba abiria
Si wapeleke wanajeshi wao kama mercenaries wakavitumie huko Ukraine!!?? Shida nini kama wanao wanajeshi wanaoweza kuvitumia Kwa Nini wasiwapeleke navyo!??
 
Naona raia tunaponda process za vifaru hivyo kuanza kazi hapo Ukraine. Tunajiona tunajua kuliko serikali za hayo mataifa.

Ninachokiona hapa ni kwamba, bado ngoma mbichi kabisa. NATO wana silaha nyingi kuzifikisha Ukraine, upande wa russia ameshatumia pengine ya 80% ya uwezo wake wa kijeshi, na alifanya hivi ili awahi kuiteka Ukraine ila ndo hivyo ameshachemka.

NATO walishasema nia yao ni kuona vita inachukua muda mrefu zaidi, mambo yote haya wanayofanya sio kwa bahati mbaya au kukosea, wao ndo wanajua kesho ya vita ikoje.
Wacha weee katumia 80% ya uwezo wa jeshi lake ....
 
Msemaji wa White house amesema kwamba miezi michache ijayo Marekani itatuma vifaru aina ya M1 Abrams nchini Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine wataanza kupatiwa Mafunzo ya vifaru hivyo nchini Poland kwa muda wa miezi 3.

Hayo yanajiri siku moja baada ya Ujerumani kukubali kutuma vifaru 29 aina ya Leopard 2 nchini Ukraine. Nchi za Poland, Finland na Canada zikiwa tayari zimetuma Maombi rasmi kwa Ujerumani ya kuziruhusu kutuma vifaru vya Leopard nchini Ukraine.

Maoni yangu
Kwanini vifaru vichukue muda mrefu hivyo Kufika Ukraine? Ujerumani imesema Vifaru vyake chapa ya Leopard vitawasili mwezi wa nne nchini Ukraine baada ya Tangazo Hilo huku Vifaru vya Marekani aina ya M1 Abrams vikitarajiwa kuwasili nchini Ukraine mwezi wa 6.

Pia, Marekani ina vifaru vya M1 Abrams zaidi ya 3,000 ambavyo viko Store vinakula vumbi tu havina Kazi. Kwanini watume vifaru 31 tu? Au wanaidharau jeshi la Urusi mpaka lishindwe na vifaru vichache tu vya Magharibi?

Time will tell.
Hizi nchi za magharibi hawatoi akiba ya vifaru vyao vya kisasa kutoka store (kwa Sasa wana kizazi cha nne Cha Abrams na Leopard)..

Ila wanayapa fedha makampuni yao ya silaha ili watengeneze silaha huko watalipa Kodi, na kuzalisha ajira mpya .(hata vifaru watakavyoipa Ukraine itakuwa kizazi cha 2 tu sio kama zao zilizopo store ).
 
Si wapeleke wanajeshi wao kama mercenaries wakavitumie huko Ukraine!!?? Shida nini kama wanao wanajeshi wanaoweza kuvitumia Kwa Nini wasiwapeleke navyo!??
Kwa akili ya kawaida Ni sawa. Lakini kwa sheria za Marekani Rais Hana mamlaka ya Kupeleka wanajeshi wa Marekani kupigana nje ya Nchi bila idhini ya Bunge.

Rais anaweza kupenyeza wanajeshi wa Marekani kwa Siri kwenda kupigana nje ya Nchi bila idhini ya Bunge lakini siku likibumbuluka Ni kashifa kubwa Sana ambayo inaweza kusababisha Rais kufutwa Kazi na hata kushitakiwa. Hicho ndicho kinachoogopwa.
 
Kaka una wang'ong'a tu ....yaani mtu anakwambia kifaru kinapiga Km 500 aseee..... Ugonjwa wa akili ni Tatizo kubwa sana.... Kukipata tu Cha kupiga 10km ni mtihani.
Wapuuzi hao, wengi walijua ni shooting range kumbe hio range ni travelling range kwa full tank moja. Kinaweza kuzurura hizo kilometre kabla hakijaishiwa diesel.

Shooting ni metre 2000-3000 humo. Sawa na 2-3KMs
 
Kaka una wang'ong'a tu ....yaani mtu anakwambia kifaru kinapiga Km 500 aseee..... Ugonjwa wa akili ni Tatizo kubwa sana.... Kukipata tu Cha kupiga 10km ni mtihani.
Tofautisha Range ya Kifaru na Range ya Rocket ya Kifaru. Hiyo Range ya 500km Ni uwezo wa Kifaru kutembea umbali huo Frontline kabla ya kufanyiwa Maintainance (Duty Cycle). Range ya Rocket za Kifaru Cha Leopard 2 Ni 5km tu.

Sijui kwanini watu wanashindwa kufahamu vitu vidogo Kama hivi.
 
Back
Top Bottom