Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Kwani wewe ukiambiwa maisha yako yawekwe live utakubali!!??Hii vita mbona haionyeshwi live kwenye TV?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe ukiambiwa maisha yako yawekwe live utakubali!!??Hii vita mbona haionyeshwi live kwenye TV?
Hilo nalijua vizuri mnooo Kuna kenge Mmoja alisoma akaanza kupayuka humu .... Bila kujua.... Sijui kapotelea wapi Baada ya kuumbuka.Tofautisha Range ya Kifaru na Range ya Rocket ya Kifaru. Hiyo Range ya 500km Ni uwezo wa Kifaru kutembea umbali huo Frontline kabla ya kufanyiwa Maintainance (Duty Cycle). Range ya Rocket za Kifaru Cha Leopard 2 Ni 5km tu.
Sijui kwanini watu wanashindwa kufahamu vitu vidogo Kama hivi.
MTZ 255Dar si unamuona kama huyu.... Ndio maana nikasema ugonjwa wa akili ni Tatizo... Sasa unafikiri huyu anaongelea "range" ipi kama sio shooting/firing range!!??Umecalculate vibaya, kumbuka mzinga unanyooka. 500km inaweza kuwa kuwa Dar- Ngorongoro/ Serengeti
Mnategemea Urusi atapotea kirahisi hivyo. Putin ataangamiza mashoga wote wa west kwa kuachilia sarmat bomber. Hata akifa ila kitakuja kizazi kipya chenye akili za tofauti na mashoga.Hizo Nuklia ndizo tunazozitaka, wewe unaogopa nini. Zimetengezwa acha zitumike, dunia tunapita tu. Alafu Putin sio chizi kama wewe, anajua akitumia Nuklia yeye hatopona, Kumbuka URUSI ina miji 2 tu muhimu(Moscow na Santa Petersburg), Nuklia zitamuasili sana URUSI kuliko Mataifa 50 ya magharibi maana wenzake wanna majiji mengi hawezi kuwawahi. Pia Ukraine hawaogopi Nuklia maana wanavyo viwanda vya Nuklia na washawai kumiliki hizo Nuklia kabla hawajazipeleka kwa URUSI ili ziangamizwe, pia wamewai kulipukiwa na kiwanda cha Nuklia (Chernobyl Nuklia disaster) hapo hapo Ukraine katika mkoa wa Chernihiv, ambapo iliasiri mpaka Urusi na Belarus, so mwambie Putin apige sio kuongea tu mwaka mzima. URUSI ni mvamizi lialia, unavamia wewe na unalia wewe.
Jamani, Mungu atusaidie yaishe haya! Dhaaa!Msemaji wa White house amesema kwamba miezi michache ijayo Marekani itatuma vifaru aina ya M1 Abrams nchini Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine wataanza kupatiwa Mafunzo ya vifaru hivyo nchini Poland kwa muda wa miezi 3.
Hayo yanajiri siku moja baada ya Ujerumani kukubali kutuma vifaru 29 aina ya Leopard 2 nchini Ukraine. Nchi za Poland, Finland na Canada zikiwa tayari zimetuma Maombi rasmi kwa Ujerumani ya kuziruhusu kutuma vifaru vya Leopard nchini Ukraine.
Maoni yangu
Kwanini vifaru vichukue muda mrefu hivyo Kufika Ukraine? Ujerumani imesema Vifaru vyake chapa ya Leopard vitawasili mwezi wa nne nchini Ukraine baada ya Tangazo Hilo huku Vifaru vya Marekani aina ya M1 Abrams vikitarajiwa kuwasili nchini Ukraine mwezi wa 6.
Pia, Marekani ina vifaru vya M1 Abrams zaidi ya 3,000 ambavyo viko Store vinakula vumbi tu havina Kazi. Kwanini watume vifaru 31 tu? Au wanaidharau jeshi la Urusi mpaka lishindwe na vifaru vichache tu vya Magharibi?
Time will tell.
Punguza chai Basi,Hivo vifaru ingia youtube ucheki CV zake.
Vilitumika Afghan na Iraq halafu sasa wana generation 3 ambayo inaweza kumudu sehemu mazingira yoyote.
Pili ni computer system yaani mnaweza kuwa wawili tu dereva na wewe mkamaliza jambo.
Spidi yake kukimbia sio ya kitoto inafukuzana V8 ya TISS .
Kwenye mafuta ni kama carina TI.
Inayoweza kushambulia kifaru ni elikopta ambazo Marekani anazo sikumbuki model.
RPG za mazoea si rahisi kuharibu.
Ina rada unaweza kusema ndege ya vita.
Kuna zile RPG za kisasa zinaweza kuzuiwa kulipua kifaru.
USA baby lazima mtoto wangu atimize ndoto zake huko
Mi mwnyw nmewaza,Kaka una wang'ong'a tu ....yaani mtu anakwambia kifaru kinapiga Km 500 aseee..... Ugonjwa wa akili ni Tatizo kubwa sana.... Kukipata tu Cha kupiga 10km ni mtihani.
NdioKwani wewe ukiambiwa maisha yako yawekwe live utakubali!!??
Daah [emoji1][emoji1] unanikumbusha bambo na kipindi chake nimesahau jina ila anajifanya babu alafu anakuwa anasimulia jambo flani enzi zao yaani ni ana kamba humo za hatarHivo vifaru ingia youtube ucheki CV zake.
Vilitumika Afghan na Iraq halafu sasa wana generation 3 ambayo inaweza kumudu sehemu mazingira yoyote.
Pili ni computer system yaani mnaweza kuwa wawili tu dereva na wewe mkamaliza jambo.
Spidi yake kukimbia sio ya kitoto inafukuzana V8 ya TISS .
Kwenye mafuta ni kama carina TI.
Inayoweza kushambulia kifaru ni elikopta ambazo Marekani anazo sikumbuki model.
RPG za mazoea si rahisi kuharibu.
Ina rada unaweza kusema ndege ya vita.
Kuna zile RPG za kisasa zinaweza kuzuiwa kulipua kifaru.
USA baby lazima mtoto wangu atimize ndoto zake huko
80% sio we jamaa banaNaona raia tunaponda process za vifaru hivyo kuanza kazi hapo Ukraine. Tunajiona tunajua kuliko serikali za hayo mataifa.
Ninachokiona hapa ni kwamba, bado ngoma mbichi kabisa. NATO wana silaha nyingi kuzifikisha Ukraine, upande wa russia ameshatumia pengine ya 80% ya uwezo wake wa kijeshi, na alifanya hivi ili awahi kuiteka Ukraine ila ndo hivyo ameshachemka.
NATO walishasema nia yao ni kuona vita inachukua muda mrefu zaidi, mambo yote haya wanayofanya sio kwa bahati mbaya au kukosea, wao ndo wanajua kesho ya vita ikoje.
Pole sana kwamba urusi itafilisika pro nato mnawaza sawasawa kweriWewe ufuatilii mambo, US amemumbia Ukraine kwamba haiwezekani kuwatoa Russia mwaka huu ila vita viende mpaka mwakani. Kiufupi NATO wanataka viende mpaka mwakani, ili URUSI afilisike kimapato, maana wanasema URUSI kuivamia Ukraine ni fursa iliojileta yenyewe, na ndio wakati sahihi wa URUSI kupotea taratibu, na kusimikwa kwa New World Order kilanja watakua ni G7. Wanasema Shirikisho la URUSI litagawanyika, maana kuna jamii hazitavumilia dhiki.