WASHINGTON DC: Marekani yakubali kutuma vifaru 31 aina ya M1 Abrams nchini Ukraine

Hilo nalijua vizuri mnooo Kuna kenge Mmoja alisoma akaanza kupayuka humu .... Bila kujua.... Sijui kapotelea wapi Baada ya kuumbuka.
 
Mnategemea Urusi atapotea kirahisi hivyo. Putin ataangamiza mashoga wote wa west kwa kuachilia sarmat bomber. Hata akifa ila kitakuja kizazi kipya chenye akili za tofauti na mashoga.
 
Jamani, Mungu atusaidie yaishe haya! Dhaaa!
 
Punguza chai Basi,
Hapo Hamna kifaru chenye speed inayofika 100 km/hr.

Abrams maximum speed Ni 76 km/hr
Leopard maximum speed 69 km/hr
 
Kaka una wang'ong'a tu ....yaani mtu anakwambia kifaru kinapiga Km 500 aseee..... Ugonjwa wa akili ni Tatizo kubwa sana.... Kukipata tu Cha kupiga 10km ni mtihani.
Mi mwnyw nmewaza,
Hiyo risasi inayotembea km 500 inalinganaje?
 
Kila mtu anamvizia mwenzake,west wanatuma mzigo kidogokidogo na Russia wanatumia suma jkt yao.
 
Daah [emoji1][emoji1] unanikumbusha bambo na kipindi chake nimesahau jina ila anajifanya babu alafu anakuwa anasimulia jambo flani enzi zao yaani ni ana kamba humo za hatar
 
80% sio we jamaa bana
 
Pole sana kwamba urusi itafilisika pro nato mnawaza sawasawa kweri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…