Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

jmushi1,
JIANDAE TU KISAIKOLOJIA RAISI WETU 2020 ANATOKA CCM HAYO MENGINE WACHE WAJIFURAHISHE

KTKT UCHAGUZI AMBAO N MRAHISI KULIKO YOTE N 2020 TUMEET HAPA BAADA YA UCHAGUZI... YAAN
 
Mabeberu Wajanja Sana Ila Sasa Hivi Tanzania Tupo Salama
Hakuna Nafasi Ya Wao Wenyewe Kupenya. 😄😅
 
 
Magufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum.

Hakuna maelezo yoyote yale yenye kuingia akilini kwa nini mpaka sasa Makonda hajatumbuliwa ilhali kuna wengine wengi tu ambao wametumbuliwa kiajabuajabu.
Sasa hivi hata akitumbuliwa.

The damage is too much. Nothing is gonna distance JPM with all that Makonda has been doing on behalf of the govt.

Atabaki mwenyewe aeleze Makonda alikuwa anafanya hayo kwa mamlaka yapi na nani amemtuma.

Still, JPM is implicated.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi uchafu na ushenzi wote anaoufanya Makonda una baraka na kibali cha Magufuli.
 
nimekuita kwenye thread flani hivi

 
Huyu mpumbavu anatuletea habari ya mwaka 2018??! jinga kabisa, angalia hiyo link ya mwaka gani
Hata kama hiyo link ni ya mwaka 2017, lakini hayo yote yaliyoelezwa kwenye hilo gazeti ndio yaliyofanyika na yana endelea kufanyika TZ..

Mkusanyiko wa habari kama hizi ndizo zilizoifanya USA iichukulie hatua TZ..

Washington Post ni gazeti linaloheshimiwa sana Duniani Huwezi kulifananisha na gazeti la UHURU..
 
Let's watch this movie... imeanza kunoga, sterling ameanza kukoswa koswa na dizaini kama maadui wanamzidi nguvu. Ngoja tuone itaishaje. I am really hoping for the best, but I strongly expect the worst.
sterling=starring
 
Asante kuniita, ndiyo kwanza naona.

Ngoja niifanyie haki kwa kanuni zangu za siku zote.

Naomba niisome kwa kituo kwanza kabla ya kuchangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sio watu watajua yeye ndio anayemtuma, ila ndio anayemtuma.
 
CC : @chakaza
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…