jd41
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,756
- 4,849
Sasa habari kaiandika mzungu, wamtafute na huyo wamfungulie kesi ya utakatishaji fedha!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Itafsiliwe kisukuma labdaSasa habari kaiandika mzungu, wamtafute na huyo wamfungulie kesi ya utakatishaji fedha!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah jamaa wanataarifa nyingi hawa.Hili la uchaguzi wa serikali za mitaa ni doa kubwa sana.
Magufuli focus kwenye plan za kujenga uchumi imara mwache shavu dodo akomae na kutoa taarifa nje akifikiri zitamsaidia, mtakuja mshangae November , nyie mnajua ccm ilivyo na nature ya wananchi wetu,mtapigwa chini hadi muone aibu November labda kama kuna plan ya kuiondoa kwa mabavu,chukueni vibali mfanye siasa majimboni.
The Washington Post, ndilo gazeti kiongozi la mabeberu duniani!, liliwahi kumngoa hadi rais wa Marekani kwa kwa kuibua ile kashfa ya Watergate iliyomuondoa rais Richard Nixon wa Marekani.
P
Ila bado haija expire, itakua expired siku jiwe akifurushwa magogoni.
Tena ina mwaka na upukupuku, tena wanajiona wasafi, huku Democrats wanadai Russia wamehusika katika uchaguzi wao, bado kuna swala la vitisho kwa Ukraine na viongozi wa FBI na wengineo, kweli nyani haoni kundule...
Noma sana!Pia inadaiwa na mwandishi kuwa Maghufuli anawatumia wakuu wa wilaya na mikoa kupambana na kuwafanyia fujo wapinzani. Haswa sehemu zenye kuwa na viongozi wa upinzani nk. Wanasema wanalipizia kisasi kwa kuwaadhibu watu wa maeneo hayo kwa kuchagua upinzani!
“I find that regional and district commissioners take a more active and violent role in areas where the opposition runs local governments. They make it difficult for opposition governments to effectively deliver public services, thereby simultaneously punishing those who voted for the opposition and discrediting opposition parties.”-The Washington Post.
Huyu mpumbavu anatuletea habari ya mwaka 2018??! jinga kabisa, angalia hiyo link ya mwaka gani
Magazeti ya nje ni kipaza sauti ya kile kilichopangwa na wakubwa Wa dunia hio ni rasharashaKwahiyo unataka kusema hili gazeti linaweza kumng'oa jiwe?
The Washington Post, ndilo gazeti kiongozi la mabeberu duniani!, liliwahi kumngoa hadi rais wa Marekani kwa kwa kuibua ile kashfa ya Watergate iliyomuondoa rais Richard Nixon wa Marekani.
P
Ukichezea maslai yao ni lazima watakuondoa tu ukiwa na nguvu wanakuundia vikundi vya waasi.Naona Nkuruzinza kaona isiwe tabu ya nn kwenda the hague atogombeaHawa jamaa wana taarifa nyingi sana. Na hili la Makonda ni kama tu kumbeep jiwe. Ila huwa hawakurupuki hawa wakishaanza mambo yao ni kuwa makini sana. Huwa wana calculations za hali ya juu. Wakisema kitu ujuwe kazi imeanza.
Sasa kama Taifa tufanye nn kuuzima kabla moto haujakolea??Hawa jamaa wana taarifa nyingi sana. Na hili la Makonda ni kama tu kumbeep jiwe. Ila huwa hawakurupuki hawa wakishaanza mambo yao ni kuwa makini sana. Huwa wana calculations za hali ya juu. Wakisema kitu ujuwe kazi imeanza.
Magufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum.
Hakuna maelezo yoyote yale yenye kuingia akilini kwa nini mpaka sasa Makonda hajatumbuliwa ilhali kuna wengine wengi tu ambao wametumbuliwa kiajabuajabu.
ameileta in the light of recent events akitaka kutuaminisha out of context kwamba ina direct connection ya kilichotokean juzi.., si sawa.Habari zilizopita zingekuwa hazina maana, watu wasingesoma historia.