Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

Baada ya siku mbili tatu tunasahau na maisha yanaendelea kama ilivyokuwa kwa lissu. Mwezi wa kumi ccm inashika tena nchi.
Kazi kwenu wapambe wa US mana bado kuna miaka mitano mengine ya kuendelea kunyooshwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana, wamezungumzia pia pesa kutumika kununua wapinzani nk. Wanafahamu kila kitu kuliko hata watanzania walio wengi.
Hivi unalalamika unanunuliwa, wakati unanunuliwa ulikuwa wapi, usingizi!!
Vitu vingine vimekaa kimaandazi sana.
 
aisee ukatili wa Serikali ya CCM dhidi ya wapinzani uko wazi kabisa dunia imeshamjua Pombe.
 
Magufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum.

Hakuna maelezo yoyote yale yenye kuingia akilini kwa nini mpaka sasa Makonda hajatumbuliwa ilhali kuna wengine wengi tu ambao wametumbuliwa kiajabuajabu.
Mtaalam wake wa mambo ya anga mkuu,hakuna jambo analofanya Makonda alfu Magufuli asije.Clouds alitumia walinzi wa ikulu
 
Wanajamvi, hiki kipengele hapo chini, kimo kwenye hii makala ya Washington post inayosema “Democracy Dies in Darkness” ya mwaka 2018

“Makonda and Magufuli are too closely linked for the president to escape responsibility.“-The Washington Post.

Katika makala hiyo ambayo link nimeiweka, mwandishi huyo Rachael Mclellan, amechambuwa vilivyo. Pia wanasema issues ya ushoga CCM wanaitumia kama njama za kisiasa.

Matendo yote mabaya mfano kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, kushambuliwa kwa Lissu nk vyote vimeorodheshwa humo. Hata CCM kununua Wapinzani, ubambikiaji wa kesi kwa upinzani na wafanyabiashara vimetajwa.

Nimeona makala hii ni intersting zaidi baada ya ban aliyopigwa Makonda kuingia US

Kwa vyovyote vile, kumtarget Makonda ni kama vile ujumbe kwa Maghufuli(kwa wale waliokuwa wakijiuliza). Kwa maoni yangu, uchaguzi ujao utakuwa wenye changamoto kubwa sana kwa Taifa letu. Na wafadhili sasa wameshaanza kuona kuwa ccm siyo chama kizuri. Someni wenyewe...

Source: https://www.washingtonpost.com/news...g-schoolgirls-and-killing-opposition-leaders/
Mungu wabariki Wazungu
 
Anaefikiria kuwa Magufuri ajuhi Mauji na Utekaji wa tanzania anaofanya BASHITE akapimwe akili.
 
Kinacho niogopesha hawa mabeberu huwa wanaanzaga na gear number moja!
Wakiibuka tena tutaumia tuombe Mungu!
 
Nilifikiri biblia kumbe gazeti la ma gay?
Wanajamvi, hiki kipengele hapo chini, kimo kwenye hii makala ya Washington post inayosema “Democracy Dies in Darkness” ya mwaka 2018

“Makonda and Magufuli are too closely linked for the president to escape responsibility.“-The Washington Post.

Katika makala hiyo ambayo link nimeiweka, mwandishi huyo Rachael Mclellan, amechambuwa vilivyo. Pia wanasema issues ya ushoga CCM wanaitumia kama njama za kisiasa.

Matendo yote mabaya mfano kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, kushambuliwa kwa Lissu nk vyote vimeorodheshwa humo. Hata CCM kununua Wapinzani, ubambikiaji wa kesi kwa upinzani na wafanyabiashara vimetajwa.

Nimeona makala hii ni intersting zaidi baada ya ban aliyopigwa Makonda kuingia US

Kwa vyovyote vile, kumtarget Makonda ni kama vile ujumbe kwa Maghufuli(kwa wale waliokuwa wakijiuliza). Kwa maoni yangu, uchaguzi ujao utakuwa wenye changamoto kubwa sana kwa Taifa letu. Na wafadhili sasa wameshaanza kuona kuwa ccm siyo chama kizuri. Someni wenyewe...

Source: https://www.washingtonpost.com/news...g-schoolgirls-and-killing-opposition-leaders/

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA ana maslahi gani bongo kama sio sisi tunawategemea hadi net naomba unitajia maslahi yao hapa Tanzania yaliyo guswa tuache visingizio tukubali tumejikwa na ni mda wa rais wetu kufanya marekebisho tunapo hisi tumejikwaa na tusonge mbele
Ukichezea maslai yao ni lazima watakuondoa tu ukiwa na nguvu wanakuundia vikundi vya waasi.Naona Nkuruzinza kaona isiwe tabu ya nn kwenda the hague atogombea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA ana maslahi gani bongo kama sio sisi tunawategemea hadi net naomba unitajia maslahi yao hapa Tanzania yaliyo guswa tuache visingizio tukubali tumejikwa na ni mda wa rais wetu kufanya marekebisho tunapo hisi tumejikwaa na tusonge mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusingekuwepo kwa maslai ubalozi ungekuwa Kenya huwezijenga ubalozi tena Wa kudumu kama huna maslai nako
 
Article nzuri sana, si kwa sababu inatuambia kipya ambacho wa Tanzania tunaofuatilia mambo hatujui, bali kwa sababu imekusanya mambo mengi pamoja, kwa hadhira ya kimataifa.

Nimependa sana alipoandika kuhusu "plausible deniability". Nimetoka kuongelea "plausible deniability" hapa JF nafikiri siku mbili tu zimepita.

Kwa sasa inabidi Magufuli awe mdogo tu na akubali amechemsha kumuachia Makonda, vonginevyo, watu watajua yeye ndiye anayemtuma.
Hapo kwenye bold watu wajue mara ngapi!?
 
Mbona hamna comments?!!

Article ya november 30, 2018, lakini comment zero!!!
 
Back
Top Bottom