That I can’t deny to their perspective her work falls into credible source. Na ndio maana hiyo dissertation imempatia tuzo ya kisiasa.Habari kama hizi ndizo wanazitumia wanapofanya maamuzi.
Kuhusu ushahidi wa viongozi waliouwawa mbona upo? Au umeshasahau?
Utaambiwa utangulie kituo chochote Cha polisi wewe na ukifika umwambie utakayemkuta kwamba makonda amesema nije hapa! Ya dodoma hayakukutosha?Tena balaa kubwa, katuharibia Jumapili yetu, kwa bad news, wahusika ni hakuna kulala, unaingia huku na kule, hata maombezi this time na kulia madhabahuni, yamegoma!.
P
Tena kwasababu ni research iliyokubaliwa ndo maana ikapata nafasi kwenye gazeti la The Washington Post. Mkuu hili ni gazeti linaloheshimika vibaya mno. Hata ma senators na wawakilishi huwa wanatumia makala zao kama reference wanapojenga hoja zao ndani ya bunge.That I can’t deny to their perspective her work falls into credible source. Na ndio maana hiyo dissertation imempatia tuzo ya kisiasa.
But the credibility of research design is still questionable, if you are on the government side and want to challenge her work you’d want to know the quality of (qualitative and quantitative sample data) used to make the conclusion.
Usually I condemn what I think is morally wrong or things of undemocratic nature, air my opinion on devisive matters (depending on my values, doesn’t mean I’m always on the right side but that’s what I believe) and praise government acts on merit.Tena kwasababu ni research iliyokubaliwa ndo maana ikapata nafasi kwenye gazeti la The Washington Post. Mkuu hili ni gazeti linaloheshimika vibaya mno. Hata ma senators na wawakilishi huwa wanatumia makala zao kama reference wanapojenga hoja zao ndani ya bunge.
Kingine cha muhimu, ni mwitikio wa wananchi. Je wewe kama mwananchi, haya unayoyasikia ni ya uongo? Mengi aliyoyaandika yanafahamika ama yamekuwa yakizungumzwa sana mitandaoni.
Serikali inapata shida kuwajibu wamarekani kwasababu walikwishawadharau wananchi walipokuwa wakihoji.
We boya kwani Ben Saanane mmemuua mwaka huu? Jibu hizo hoja, ni kweli ama wamewasingizia? Una mdhalilisha Baba wa Taifa, puumbavu.Huyu mpumbavu anatuletea habari ya mwaka 2018??! jinga kabisa, angalia hiyo link ya mwaka gani
inadaiwa yaani?Pia inadaiwa na mwandishi kuwa Maghufuli anawatumia wakuu wa wilaya na mikoa kupambana na kuwafanyia fujo wapinzani. Haswa sehemu zenye kuwa na viongozi wa upinzani nk. Wanasema wanalipizia kisasi kwa kuwaadhibu watu wa maeneo hayo kwa kuchagua upinzani!
“I find that regional and district commissioners take a more active and violent role in areas where the opposition runs local governments. They make it difficult for opposition governments to effectively deliver public services, thereby simultaneously punishing those who voted for the opposition and discrediting opposition parties.”-The Washington Post.
Mkuu, huyo ndiye "MaliyaMungu" wa Tanzania. Ni mtu hatari sana huyo kijana.Kumbe ndiye Israel mtoa roho na ndiyo sababu anawadharau hata makamu wa rais na waziri mkuu kwakua na yeye yumo kwenye top three ya uongozi wa nchi.
Huyu Zitto,mtahangaika sanaWanajamvi, hiki kipengele hapo chini, kimo kwenye hii makala ya Washington post inayosema “Democracy Dies in Darkness” ya mwaka 2018
“Makonda and Magufuli are too closely linked for the president to escape responsibility.“-The Washington Post.
Katika makala hiyo ambayo link nimeiweka, mwandishi huyo Rachael Mclellan, amechambuwa vilivyo. Pia wanasema issues ya ushoga CCM wanaitumia kama njama za kisiasa.
Matendo yote mabaya mfano kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, kushambuliwa kwa Lissu nk vyote vimeorodheshwa humo. Hata CCM kununua Wapinzani, ubambikiaji wa kesi kwa upinzani na wafanyabiashara vimetajwa.
Nimeona makala hii ni intersting zaidi baada ya ban aliyopigwa Makonda kuingia US
Kwa vyovyote vile, kumtarget Makonda ni kama vile ujumbe kwa Maghufuli(kwa wale waliokuwa wakijiuliza). Kwa maoni yangu, uchaguzi ujao utakuwa wenye changamoto kubwa sana kwa Taifa letu. Na wafadhili sasa wameshaanza kuona kuwa ccm siyo chama kizuri. Someni wenyewe...
Source: https://www.washingtonpost.com/news...g-schoolgirls-and-killing-opposition-leaders/
Nature ya Wananchi ipi Mkuu wakati suala la wizi wa kura lipo wazi? Mkivimbiwa kodi zetu muwe na adabu kidogo aisee.Magufuli focus kwenye plan za kujenga uchumi imara mwache shavu dodo akomae na kutoa taarifa nje akifikiri zitamsaidia, mtakuja mshangae November , nyie mnajua ccm ilivyo na nature ya wananchi wetu,mtapigwa chini hadi muone aibu November labda kama kuna plan ya kuiondoa kwa mabavu,chukueni vibali mfanye siasa majimboni.
Afadhali umekiri hilo la ukweli kuhusu MAUAJI kama akina Saa Nane, Azory Gwanda na wengineo. Naona tunakwenda pamoja sasa.The Washington Post, ndilo gazeti kiongozi la mabeberu duniani!, liliwahi kumngoa hadi rais wa Marekani kwa kwa kuibua ile kashfa ya Watergate iliyomuondoa rais Richard Nixon wa Marekani.
Kuna vingi vimesemwa humu ni vya kweli lakini pia kuna baadhi wameongeza chumvi kama ile ya ku arrest pregnancy girl, hawawi arrested bali wanafukuzwa shule!, wanaokuwa arrested ni the culprits, mafataki wanaowajaza watoto wetu mimba!. Ile issue ya Tandahimba ni wale wasichana waliopata ujauzito sio kuwa arrested bali walitakiwa kuhojiwa ili wawataje waliowapa ujauzito sheria ichukuwe mkondo wake, lakini kwa kuhofia mafataki kupigwa mvua 30, hivyo waliotiwa mimba kuteseka kwa kuzaa watoto bila malezi ya wenye mimba zao, wazazi wa mabinti walioamua ku collaborate na mafataki, ama wawaoe mabinti zao au watoe matunzo, wakienda jela ni mateso kwa binti yao na majanga kwa familia zao.
Tungekuwa na serious media, tungepata a development kuna yoyote alikuwa arrested?.
P
<Marekani kila siku watu wanauwawa na hatusikii kelele,kifo ni kifo hakijalisha mwanasiasa au asiye mwanasiasaHapa hapa dar penyewe miili kibao imeokotwa kawe huko nano ameripot zaid ya kurushiana sisi kwa sisi kwenye whatspp ? Chombo gani kimereport ?
Sent using Jamii Forums mobile app
kifo kimewakaribia anzeni kutubu😂😂😂😂Taarifa nyingi zilizoandaliwa ufipa ha ha ha
Kila mwaka wa uchaguzi huwa mnakuja na swaga hizikifo kimewakaribia anzeni kutubu😂😂😂😂
Pompeo anakuita😃😂😂😁😂Kila mwaka wa uchaguzi huwa mnakuja na swaga hizi
Ningependa kujua mwandishi wa makala hiyo.Mwandishi pia anadai kuwa Maghufuli ameweza kufanya matendo mengi maovu kwa kuwatumia wasaidizi wake bila ya wao kuhusishwa na uhalifu huo...Mfano kumtumia Makonda kufanya mambo machafu nje ya yale ya kiofisi! Na kwamba huwa anajiweka mbali matendo hayo ya spot okra, lakini kumbe yeye ndo yuko nyuma yao! Nimemnukuu hapo chini...
The Washington Post
Pascal Mayalla