Mayonene
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 1,594
- 1,419
Dah jamaa wanataarifa nyingi hawa.Hili la uchaguzi wa serikali za mitaa ni doa kubwa sana.
Halafu ilikuwa completely unnecessary.
Dah jamaa wanataarifa nyingi hawa.Hili la uchaguzi wa serikali za mitaa ni doa kubwa sana.
Ok umesema weee. Unanukuu mwandishi anasema anasema, wewe unasemaje? Matendo gani mabayya yanayofanyika? Au ni yale yale ya kuwinda mashoga.Mwandishi anadai kuna madhambi mengi sana yanatokea nje ya Dar lakini hayaripotiwi na vyombo vya habari.
Mwandishi anadai kuna madhambi mengi sana yanatokea nje ya Dar lakini hayaripotiwi na vyombo vya habari.
Huyu mpumbavu anatuletea habari ya mwaka 2018??! jinga kabisa, angalia hiyo link ya mwaka gani
Paskali, kuna kuongozi wetu mmoja aliwahi kunukuliwa akisema wazazi wa watoto wa kike wataopata mimba wakiwa shule wakamatwe! Hapa unaelewa nini?The Washington Post, ndilo gazeti kiongozi la mabeberu duniani!, liliwahi kumngoa hadi rais wa Marekani kwa kwa kuibua ile kashfa ya Watergate iliyomuondoa rais Richard Nixon wa Marekani.
Kuna vingi vimesemwa humu ni vya kweli lakini pia kuna baadhi wameongeza chumvi kama ile ya ku arrest pregnancy girl, hawawi arrested bali wanafukuzwa shule!, wanaokuwa arrested ni the culprits, mafataki wanaowajaza watoto wetu mimba!. Ile issue ya Tandahimba ni wale wasichana waliopata ujauzito sio kuwa arrested bali walitakiwa kuhojiwa ili wawataje waliowapa ujauzito sheria ichukuwe mkondo wake, lakini kwa kuhofia mafataki kupigwa mvua 30, hivyo waliotiwa mimba kuteseka kwa kuzaa watoto bila malezi ya wenye mimba zao, wazazi wa mabinti walioamua ku collaborate na mafataki, ama wawaoe mabinti zao au watoe matunzo, wakienda jela ni mateso kwa binti yao na majanga kwa familia zao.
Tungekuwa na serious media, tungepata a development kuna yoyote alikuwa arrested?.
P
Hata kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi.Taarifa nyingi zilizoandaliwa ufipa ha ha ha
Utasikia Prof. wa jalalani anawaambia wasitutishe Tanzania ni nchi huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wana taarifa nyingi sana. Na hili la Makonda ni kama tu kumbeep jiwe. Ila huwa hawakurupuki hawa wakishaanza mambo yao ni kuwa makini sana. Huwa wana calculations za hali ya juu. Wakisema kitu ujuwe kazi imeanza.
Ole Sabaya, Ally Hapi watch out!Sana, wamezungumzia pia pesa kutumika kununua wapinzani nk. Wanafahamu kila kitu kuliko hata watanzania walio wengi.
Ni kweli kabisa! Hapa wanamsikilizia jiwe maamuzi yake kwasababu wanadhani kuwa yeye ndiye yuko nyuma ya Makonda. Kuna mambo kama matatu hivi...Hawa jamaa wako very tactical.. Wanaenda hatua kwa hatua...
Jr[emoji769]
Nini kimekutokea mkuu?😀tujuzane mkuu.Tena ina mwaka na upukupuku, tena wanajiona wasafi, huku Democrats wanadai Russia wamehusika katika uchaguzi wao, bado kuna swala la vitisho kwa Ukraine na viongozi wa FBI na wengineo, kweli nyani haoni kundule...
Hili ni swali zuri sana. Rais itabidi asikilize vilio vya wananchi kuhusu tume huru ya uchaguzi, kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao unakuwa huru na wa haki. Kuhakikisha unakuwa uchaguzi wa amani na bila kutumia vyombo vya dola. Uhuru wa kisiasa, maandamano, mikusanyiko nk bila upendeleo kwa chama tawala nk nk.
Umeona mbaliWanajamvi, hiki kipengele hapo chini, kimo kwenye hii makala ya Washington post inayosema “Democracy Dies in Darkness” ya mwaka 2018
“Makonda and Magufuli are too closely linked for the president to escape responsibility.“-The Washington Post.
Katika makala hiyo ambayo link nimeiweka, mwandishi huyo Rachael Mclellan, amechambuwa vilivyo. Pia wanasema issues ya ushoga CCM wanaitumia kama njama za kisiasa.
Matendo yote mabaya mfano kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, kushambuliwa kwa Lissu nk vyote vimeorodheshwa humo. Hata CCM kununua Wapinzani, ubambikiaji wa kesi kwa upinzani na wafanyabiashara vimetajwa.
Nimeona makala hii ni intersting zaidi baada ya ban aliyopigwa Makonda kuingia US
Kwa vyovyote vile, kumtarget Makonda ni kama vile ujumbe kwa Maghufuli(kwa wale waliokuwa wakijiuliza). Kwa maoni yangu, uchaguzi ujao utakuwa wenye changamoto kubwa sana kwa Taifa letu. Na wafadhili sasa wameshaanza kuona kuwa ccm siyo chama kizuri. Someni wenyewe...
Source: https://www.washingtonpost.com/news...g-schoolgirls-and-killing-opposition-leaders/
Unalifahamu Washington Post?Huyu si mwanafunzi alikuwa anakamilisha research yake kupata phd hana impact yeyote tuendeleeni na kuchapa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari kama hizi ndizo wanazitumia wanapofanya maamuzi.
Home | Rachael McLellan
www.rachaelmclellan.com
Uki click author utaona mwandishi ameishi na kufanya kazi Tanzania.
Hiyo nakala imetokana na Phd Dissertation aliyofanya kuhusu uchaguzi katika nchi zisizo na demokrasia or something like that akitumia Tanzania kama case study.
Kwakuwa nakala imetokana na dissertation you can argue kuna chumvi (zenye chembe za ukweli) all in all ni bias yenye lengo la ku justify his premise. Mfano unreported crimes za wakuu wa mikoa/wilaya nje ya Dar from the media, kuuwawa kwa viongozi wa upinzani (can she give specific examples).
Isitoshe much of the research is based on qualitative data therefore the quality of the sources could be questioned.
Anyway tayari alishashinda tuzo kwa sababu ya hizo porojo zake zenye nusu ukweli; hila si vibaya serikari ikarudisha mashambulizi kwa kumzuia huyu mzungu kuingia Tanzania that is proportionate to their sanction.