Washiriki 300 wa USA dhidi ya 2 wa Iran huko Pakistani

Washiriki 300 wa USA dhidi ya 2 wa Iran huko Pakistani

USA Imetuma timu ya washiriki 300 wa USA dhidi ya 2 wa Iran huko Pakistani katika majadiliano ya kuacha vita.
Kwenye Kesi za Chadema huwa unaona Brilliant Advocates huwa wabajitokeza hadi 800 tena bure bila malipo.

Wenzao huwa wanajaza mashahidi Bodaboda, mamantilie, wagonga vyuma, Darasa la Saba, na wenye Elimu mbali mbali
 
Ujaelewa.

Kwenda wawili sio ishara ya uimara.

Ni ishara kwamba Iran hawako serious na mapatano compared na Marekani aliyepeleka watu 300.

Yani kwenye jambo serious kama hilo mwenzako analeta watu 300 wewe unaleta wawili uoni kwamba Iran ame undermine hayo majadiliano?
 
acha uongo we abdi kwa mujibu wa nytimes mullahs wametuma zaidi ya watu 70 na newyork times ni anti-Trump na pro mullahs ...


1775975545874.png
 
Ujaelewa.

Kwenda wawili sio ishara ya uimara.

Ni ishara kwamba Iran hawako serious na mapatano compared na Marekani aliyepeleka watu 300.

Yani kwenye jambo serious kama hilo mwenzako analeta watu 300 wewe unaleta wawili uoni kwamba Iran ame undermine hayo majadiliano?
mmarekani hawezi kua serious , na udhibitisho ni demands zake
 
HIVI mtu unapata faida gani kutunga habari ya uongo!!!

Yaani kabisa unakaa chini na kuandika habari ambayo unajua sio ya ukweli then una post!
IMG_20260412_094007.jpg
 
Mimi binafsi nomeanza kuwakubali Irani. Wanastahili pongezi, walishajipanga.
U.S na Myahudi kaua karibu viongozi wake 60 lakini bado jamaa wana Chain of command!
Nchi nyingine wangeshapoteana muda sana. 😁
 
Back
Top Bottom