Washiriki 300 wa USA dhidi ya 2 wa Iran huko Pakistani

Washiriki 300 wa USA dhidi ya 2 wa Iran huko Pakistani

Kadri JF watakavyoendelea kuruhusu habari feki kutoka masjid ubwabwa ziletwe humu ndivyo hadhi ya hili jukwaa litakavyozidi kushuka.
 
Mbona unachemka kama maharage mkuu ? Ulivyosema 70 ulitoa wapi taarifa ?

wewe ndiyo unamchemka kama maharage kwa maana hata kusoma hauwezi, niliposema 70 nimeweka na kiambatanisho cha chanzo, sasa wewe na hiyo namba yako umeitoa wapi?, rudia (tena) kusoma ...
 
Mimi binafsi nomeanza kuwakubali Irani. Wanastahili pongezi, walishajipanga.
U.S na Myahudi kaua karibu viongozi wake 60 lakini bado jamaa wana Chain of command!
Nchi nyingine wangeshapoteana muda sana. 😁
Nazani baada ya hii vita kuisha takwimu za dunia ziwekwe upya kuhusu Marekani
 
Kadri JF watakavyoendelea kuruhusu habari feki kutoka masjid ubwabwa ziletwe humu ndivyo hadhi ya hili jukwaa litakavyozidi kushuka.
Unataka habari za church kinguo?
 
Back
Top Bottom