Washiriki wa Miss Tanzania 2006 hawaoleki? Ni watu wa media sana na ufuska?

Washiriki wa Miss Tanzania 2006 hawaoleki? Ni watu wa media sana na ufuska?

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Nilikuwa nikifuatilia vioja mbalimbali vinavyojitokeza na vinavyoendelea kujitokeza, nikagundua kuwa washiriki wa miss 2006 baadhi yao wanajihusisha na kujitangaza sana kwenye vyombo vya habari hasa television na Magazeti.

Ni mabingwa wa kubadili mabwana, hawajalishi ni wa mme wa mtu au la, wao mbele kwa mbele yaani liwalo na liwe ila tu mkwanja uchukuliwe. Wengi wameopoa hadi vizee vya umri mkubwa.

miss2006.PNG


Tukianzia Miss Wema wa 2006, Kidoti, Kajala, na yule Aunt Ezekiel pamoja na huyu Uwoya hawa watu walilivamia jiji vilivyo, baadhi wamewika sana na kuanguka kama gunia la chumvi baada ya mapedeshee kuwaosha kwa kuwamilikisha majumba, magari ya bei uchwara, pamoja na mashamba bila kuwapa umiliki kamili.

Wengine waliuza mbuzi kwenye gunia kwa kujiwekea vitumbo mbuzi, baada ya kuachia ving'amuzi vyao wakizania wangekubalika kufungisha ndoa haraka. Kale kajamaa ka kuwatema kama bigigii Mr. domo ndiye shaidi no. wani wa kucheck ving'amuzi kama vina chaneli zote.

Hawa watu kama jamii isipowaangalia kwa makini, huenda miaka ijayo hakutakuwepo ushiriki wa umiss maana inaonekana u-miss ni kujiuza. Haitaishia hapo hata kwa Mungu ni vibaya maana wao ndio waonyesha maungo , wao ndio wanaotangaza kuwa vibaby tumboni wakitemana na vibabei uvioni. Hivi vibaby vinaenda wapi, kama vinatupwa mbona haviokotwi?

Rai yangu ni kuwa Tanzania bado ni nchi inayoenda taratibu lakini hawa wanaenda kasi muno.
 
Sikupendaga tu u'missi yani,nilishauriwa sanaa nishiriki,
 
Kuna kamoja kana kialama ka nukta kikuwadi sasa na mdoti wake nilikuwa nafikiri kapo smart kumbe hovyooooo
 
Aunt nakumbuka aliwah kushiriki miss mwanza, sina uhakika kajala

Aunt ezekiel, Irene Uwoya, Wema, Lisa na Jokate hawa wote walishiriki miss Tanzania 2006

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
miss yeyote kumuoa ni janga la kidunia, bora uoe gogo utalifanya kijiwe litakufaa
 
Fikra potofu tu unamjua faraja kotta,mama wawil je(kln),yule miss mtznia mwenye asil ya kihindi,miss africa(n.sumar) na yule mtangazaj wa chanel 10 tazama tanzani,tafakar kidogo siwatetei ila wapo wanaojiheshimu na ukizingatia ile ajira kimtindo.
 
Tv na magazeti vinwafatilia sana though nao hawajatulia lkn kuna wengi tu uswaz wanawazid ila kuwa celeb tht wat do cost their reputation.Kushea mapenz na celeb m1 pia kimewaponza ila suala la KUOLEWA si mm wala mwingine anaejua ni majaliwa
 
Fikra potofu tu unamjua faraja kotta,mama wawil je(kln),yule miss mtznia mwenye asil ya kihindi,miss africa(n.sumar) na yule mtangazaj wa chanel 10 tazama tanzani,tafakar kidogo siwatetei ila wapo wanaojiheshimu na ukizingatia ile ajira kimtindo.

Hivi Nyalandu kabla ya kuwa na Faraja status yake kindoa ilikuwaje!!!!!!!

K lyn muache tu apumzike kwa babu sa hizi unaangalia pia opportunities za kimaisha

Nancy yule jamaa si alikuwa mme wa mtu kamficha ficha we mwishowe akaona yote ya nini akajilipua tu

wapo wanaojiheshim na wapo magarasa pia
 
Back
Top Bottom