mtz daima
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,561
- 579
Khaaaaa! Kweli umepitwa na mengi sana.Kwahiyo hata alivyozimia hujui?
Kiukweli huyu au Jokate ndio waliostahili ndio hivyo tena.
Hata mimi mkuu ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaa! Kweli umepitwa na mengi sana.Kwahiyo hata alivyozimia hujui?
Kiukweli huyu au Jokate ndio waliostahili ndio hivyo tena.
Irene uwoya alishika namba 5 mwaka 2006...nasikia alizimia alivyorudi backstage nadhani alijua atachukua taji
Khaaaaa! Kweli umepitwa na mengi sana.Kwahiyo hata alivyozimia hujui?
Kiukweli huyu au Jokate ndio waliostahili ndio hivyo tena.
Lisa na Wema walikua best hasa Wema uwoya alikua bonge Jokate andunje uwoya pamoja na kutoa pachuchi akawa watano.
Alitoa papuchi kwa nani?
Khaaaaa! Kweli umepitwa na mengi sana.Kwahiyo hata alivyozimia hujui?
Kiukweli huyu au Jokate ndio waliostahili ndio hivyo tena.
Kwa anko babu ludenga kwa kuhadiwa kuwa miss baada ya kutotangwaza akazimia.
miss yeyote kumuoa ni janga la kidunia, bora uoe gogo utalifanya kijiwe litakufaa
miss yeyote kumuoa ni janga la kidunia, bora uoe gogo utalifanya kijiwe litakufaa
Yaani ndo nasikia humu kweli vile.
Hayo mashindano ya kina Wema yalinipita. Nadhani nilikuwaga shule ndo maana sikuwajua washiriki wake, hata huyo Lisa mwenyewe nimeanza kumjua kupitia vitu vingine baadae ndo nikafahamu kuwa aliwahi kugombea.
Dah totoz zilikuwa kali sana wakati huo nyakati hizo nilikuwa alosto kinoma, zingekuwa zinajirudia walah bilah ningekufa na mmoja wao.Hii ndo Top Five ya Miss Tanzania 2006 katika picha. Picha kutoka Maktaba.
Basi pole mwaya.Mimi nilikua std 7 kipindi hicho na niliangalia mwanzo mwisho.Huu umbea nimeanza zamani sana acha tu.
Ndio hivyo alizimia mwenzangu!
Basi pole mwaya.Mimi nilikua std 7 kipindi hicho na niliangalia mwanzo mwisho.Huu umbea nimeanza zamani sana acha tu.
Ndio hivyo alizimia mwenzangu!
Duh we kiboko!
Std 7 but mpaka leo takwimu zimo kichwani?? Teh ipo siku utasutwa mdogo wangu! Lol
duh!! aisee, shikamoo jf. mahali ambapo mtu na mama yake wanapiga umbea bila kujuana
Nifah wallahi uanze kuniamkia!Basi pole mwaya.Mimi nilikua std 7 kipindi hicho na niliangalia mwanzo mwisho.Huu umbea nimeanza zamani sana acha tu.
Ndio hivyo alizimia mwenzangu!
Kajala alikua miss bamaga pale studio kwa mumewe