Washiriki wa Miss Tanzania 2006 hawaoleki? Ni watu wa media sana na ufuska?

Miss Tanzania 2006 crew nzima iliyoshiriki hii hapa...

DSC02688.jpg
 
kwa hawa mabinti wote, kuna ambaye alikuwa under 20???

Najaribu kutafakari real age ya wema sepetu....

Wema ndo alikua mdogo Tena alikua hajafikisha 18 old ilikua bado miezi.
 
that means alivunja sheria ya kushiriki miss Tz ama vipi?

hebu nijuze, under 18 anaruhusiwa kushiriki hili shindano?
 
Hii picha walikuwa wabichi kabisa! kabla ya kuvamia ulimwengu ulo jaa kila aina ya vurugu mengine yakawa magugumaji walio jitunza pia wapo duh kweli dunia gunia wakiitizama picha hiyooo
 
that means alivunja sheria ya kushiriki miss Tz ama vipi?

hebu nijuze, under 18 anaruhusiwa kushiriki hili shindano?

Ha kuvunja maana ilikua bado miezi kufikisha umri kamili kwahyo wakamuacha a shiriki.
 
kwa hiyo na mimi kwa mfano nikishiriki kimapenzi na binti wa miaka 17 na miezi 9 nitakuwa considered kama nimejamiiana na mtu mzima?

Hapa sijabaka, eti?
 
Cjui mnakumbuka zengwe la Emily Adolf alikua miss dodoma nadhani zengwe hadi waziri wa elimu aliingilia alishiriki akiwa mwanafunzi tena nadhani Excel cariha
 
Last edited by a moderator:
Cjui mnakumbuka zengwe la Emily Adolf alikua miss dodoma nadhani zengwe hadi waziri wa elimu aliingilia alishiriki akiwa mwanafunzi tena nadhani Excel cariha

duh!
mkuu, mwaka 1995 nilikuwa bado nachunga kondoo na mbuzi wa baba yangu mpenzi! Hapo hata Kiswahili nilikuwa nakisikia kwa shida sana tena kwenye radio za Kenya!:lol::lol::lol:

Nilikuwa mdogo sana kumfahamu Emily A.

Nimeona info zake google inasemekana alifukuzwa na shule kabisa mtoto wa watu...

miss_1995.png
 
Asee...huo mwaka mie V.U.Z.I lishaota jingi tu...
 
duh!
mkuu, mwaka 1995 nilikuwa bado nachunga kondoo na mbuzi wa baba yangu mpenzi! Hapo hata Kiswahili nilikuwa nakisikia kwa shida sana tena kwenye radio za Kenya!:lol::lol::lol:

Nilikuwa mdogo sana kumfahamu Emily A.

Nimeona info zake google inasemekana alifukuzwa na shule kabisa mtoto wa watu...

miss_1995.png

Shindano hili niliuzulia, mdada huyu kwa kweli mtu safi sana , tupo naye kwenye mghahawa wake msasani, sasa hivi yuko na mmarekani jamaa mnene balaa, sijui anaipataje k, afadhali aliachana na Italiano ambaye ngumi zilikuwa aziishi, Ila tulikosa uondo maana alikuwa anapika kiti moto balaa, ukila na ugari utatamani ulale pale.
 
Kimweri road?
 
Back
Top Bottom