Washiriki wa Miss Tanzania 2006 hawaoleki? Ni watu wa media sana na ufuska?

Washiriki wa Miss Tanzania 2006 hawaoleki? Ni watu wa media sana na ufuska?

Fikra potofu tu unamjua faraja kotta,mama wawil je(kln),yule miss mtznia mwenye asil ya kihindi,miss africa(n.sumar) na yule mtangazaj wa chanel 10 tazama tanzani,tafakar kidogo siwatetei ila wapo wanaojiheshimu na ukizingatia ile ajira kimtindo.

mtoa mada ameongelea wa 2006 ndo wengi wenye skendo, hao uliowataja ni wa miaka mingine
 
Duh! Hii sredi kama ina kaukweli hivi! Ngoja tujaribu kuunganisha dots...wapenzi wa filamu za bongo watusaidie. Hivi Marehemu Kanumba The Great alianza lini kuwika kwenye movie?
 
hapana..aunt,kidoti,wema,uwoya walishiriki miss tz ya 2006..walikua pamoja
Aunt aliwah kushiriki miss tz ila sio mwaka 2006 ni b4 that kajala hajawah kushiriki na ule mwili asingefaa hata
 
Hivi Nyalandu kabla ya kuwa na Faraja status yake kindoa ilikuwaje!!!!!!!

K lyn muache tu apumzike kwa babu sa hizi unaangalia pia opportunities za kimaisha

Nancy yule jamaa si alikuwa mme wa mtu kamficha ficha we mwishowe akaona yote ya nini akajilipua tu

wapo wanaojiheshim na wapo magarasa pia
Nimekusoma
 
Hii ndo Top Five ya Miss Tanzania 2006 katika picha. Picha kutoka Maktaba.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1392043246183.jpg
    uploadfromtaptalk1392043246183.jpg
    104.5 KB · Views: 2,362
From left to right Irene Uwoya (Temeke), Wema Sepetu (Kinondoni), Sara Kangezi (Lindi), Joketi Mwegero (Temeke) na Lisa Jensen (Mara) Siongezi wala sipunguzi chochote naomba kuwakilisha.
 
Kweli Aunt Ezekiel alikuwa miss Mwanza 2006
Source:Mkasi EATV
 
Mbona unakuwa mgumu kuelewa wewe...

Umetajiwa walimbwende waliowika mwaka 2006, sasa hao uliowataja walishiriki mwaka huo?

Back
Top Bottom