mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Nilikuwa nikifuatilia vioja mbalimbali vinavyojitokeza na vinavyoendelea kujitokeza, nikagundua kuwa washiriki wa miss 2006 baadhi yao wanajihusisha na kujitangaza sana kwenye vyombo vya habari hasa television na Magazeti.
Ni mabingwa wa kubadili mabwana, hawajalishi ni wa mme wa mtu au la, wao mbele kwa mbele yaani liwalo na liwe ila tu mkwanja uchukuliwe. Wengi wameopoa hadi vizee vya umri mkubwa.
Tukianzia Miss Wema wa 2006, Kidoti, Kajala, na yule Aunt Ezekiel pamoja na huyu Uwoya hawa watu walilivamia jiji vilivyo, baadhi wamewika sana na kuanguka kama gunia la chumvi baada ya mapedeshee kuwaosha kwa kuwamilikisha majumba, magari ya bei uchwara, pamoja na mashamba bila kuwapa umiliki kamili.
Wengine waliuza mbuzi kwenye gunia kwa kujiwekea vitumbo mbuzi, baada ya kuachia ving'amuzi vyao wakizania wangekubalika kufungisha ndoa haraka. Kale kajamaa ka kuwatema kama bigigii Mr. domo ndiye shaidi no. wani wa kucheck ving'amuzi kama vina chaneli zote.
Hawa watu kama jamii isipowaangalia kwa makini, huenda miaka ijayo hakutakuwepo ushiriki wa umiss maana inaonekana u-miss ni kujiuza. Haitaishia hapo hata kwa Mungu ni vibaya maana wao ndio waonyesha maungo , wao ndio wanaotangaza kuwa vibaby tumboni wakitemana na vibabei uvioni. Hivi vibaby vinaenda wapi, kama vinatupwa mbona haviokotwi?
Rai yangu ni kuwa Tanzania bado ni nchi inayoenda taratibu lakini hawa wanaenda kasi muno.