Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

Sasa wewe mwajiriwa unataka ujifananishe na wafanyabiashara chifu?

Ajira zinapoteza future millionaires and billionaires kila mwaka

Hakuna tajiri aliyeajiriwa
hiio ni professional yangu not job occupation.

upo sajihi chief japo miongoni mwao wengine ni watumishi wa umma.

na huyo mfanyabiashara awali alikua mtumish pi chief
 
hv "kujitafuta na kujipata" ni msamiata wenye maana gani? me sijaelewa jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…