Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

ogopa sana mtu anaefundisha vitu ambavyo hata yeye ameshindwa kuviishi!

be careful chief, let pull our effort
''Mwanaume Kuwa Na Hela Ni Sawa Na Demu Kuwa Mzuri.../ Umasikini Jeuri Ni Msemo Tu Usiuweke Kwenye Akili.../'' - Mwana FA

Ngoja tuishi humo mkuu, let's pull the effort to the fullest.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 Kama una Afya endelea kupambana ila Kwa kuwa uko weak emotianally ni vyema ukawa mbali na hao Jamaa na kwenu pia ikibidi usiende hata huko kanisani maana utakuja kujitundika Bure kisa ujinga wa kujilinganisha na kujikataa.

Mwisho kama kweli mchungaji wenu aliyasema hayo maneno Sina neno jingine zaidi ya kumwita mpumbavu.
noted chief , nimeona
 
Ukitaka kufanikiwa ukiwa Afrika hasa Tanzania lazima uwe mkwepa kodi, mhujumu uchumi, mbadhirifu, mla rushwa na upige madili ya michongo.

Watanzania wengi ni wanafiki sana, Hapa utasikia wengi wanasema mara oooh! Pambana lakini nyuma ya pazia wengi ni wahujumu uchumi..

Walio fanikiwa kihalali barani Afrika ni wachache sana kulinganisha na wengi waliofanikiwa kwa wizi wizi na janja janja.

Mifumo ya kiafrika automatically imekaa kiupigaji.
𝐍𝐚𝐤𝐞𝐝 𝐜𝐨𝐦𝐦𝐞𝐧𝐭
 
Ukiona una wasiwasi na hali yako ya maisha ya sasa jua unajitambua , wapo wengi ni vijana wadogo wameshakata tamaa wanaona ni kawaida tu.

Mbaya zaidi ni pale kujilinganisha kwako na hao walifanikiwa kutakapo kufanya ukate tamaa .
𝐃𝐨𝐧'𝐭 𝐜𝐨𝐦𝐩𝐚𝐫𝐞 𝐲𝐨𝐮𝐫𝐬𝐞𝐥𝐟 𝐰𝐢𝐭𝐡 𝐨𝐭𝐡𝐞𝐫𝐬, 𝐰𝐞 𝐝𝐨𝐧'𝐭 𝐡𝐚𝐯𝐞 𝐭𝐡𝐞 𝐬𝐚𝐦𝐞 𝐩𝐚𝐩𝐞𝐫 𝐢𝐧 𝐥𝐢𝐟𝐞
 
Hiyo hatua kajiweka yeye hapo hivyo Nguvu ya kwenda mbele ipo ndani yake.
𝐇𝐚𝐩𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐮𝐠𝐮𝐦𝐮 𝐦𝐤𝐮𝐮, 𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐬𝐢𝐧𝐠𝐢 𝐚𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐞 𝐭𝐮 𝐮𝐧𝐭𝐢𝐥 𝐭𝐨 𝐭𝐡𝐞 𝐞𝐧𝐝 𝐚𝐜𝐜𝐨𝐫𝐝𝐢𝐧𝐠 𝐭𝐨 𝐌𝐚𝐫𝐱𝐢𝐬𝐦
 
Back
Top Bottom