Inawezekana kumbuka hii kesi iligomewa na DPP na washtakiwa kwamba kesi imeletwa kimakosa kwenye mahakama hiyo .Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
umekunywa viloba vingapi..YA LEMA NINI KOSA LA MAHAKAMA? AU HAKIMU..... HATA LEAMA MWENYEWE ANATAMBUA MAHAKAMA INAMTENDEA HAKI ILA WASHITAKI WAKE WANAWATANGULIA KIMEDANI MAWAKILI WAKE...ALL IN ALL HAKI YAKE IKO NA HATAIPOTEZA CHA MUHIMU MAHAKAMA IRIDHIKE NA UTETEZI WAKE...
Kwa nini tuanze kulaani wakati sheria zipo?Tuungane, tushikamane kulaani haya mambo ya kuachiwa majangili. Wamekutwa na SMG 17 halafu wanaachiwa hivi hivi!! Noooo!
Sasa unakataa lugha za ajabu then wewe mwenyewe unaleta lugha za ajabu.Mkuu humu free forum na waingozaji wapo nacsheria pia zipo.Kama unahisi lugha ya kipuuzi niliyotumia basi moderators wangenichukulia hatua.Lakini kwa sababu hakuna kosa wala kejeli ndio maana bado comment yangu ipo kama kawaida.Nakusihihi wewe ndio uache upuuzi wakuwachagulia watu nini cha kuandika na kujivika umodereta ambao hauna.Kila kesi inaamuliwa kwa hoja zake na ushahidi wake.
Na kama sio mahakama Lema na Lissu wangeshafanyiwa mbaya siku nyingi.
Na habari zishafika jukwaani kuwa Ester Bulaya naye kamshinda Wassira mahakamani...
Sasa jadili hoja na sio kuleta lugha na ushabiki wa kipuuzi.
Kama huwezi kujadili kistaarabu bila hizo lugha zako za kejeli na kuchokoza wenzio, iachie mada ipite tu.
KAKA UMEFANYA KAZI NJEMA KTK KUHABARISHA JF NA UMMA. THIS IS WHAT WE MISSED FROM MWANZO ......Mod, taarifa nilizozipata punde zimethibitisha kuwa watuhumiwa wote 9, licha ya kukutwa na bunduki 17, wamefutiwa mashitaka yote na sasa wako huru!! Kigezo kilichotumiwa ni kwamba 'hakuna ushahidi'. Hii kazi imefanikishwa na Polisi wazito kutoka ngazi za juu. Kwa namna mchezo ulivyo, hii ni kashfa kubwa na haitashangaza kusikia rungu likitua kwa vigogo kadhaa wa Polisi na ofisi ya DPP.
Arudishwe chuoni law school ili awe Wakili wa kujitegemea atetee wahalifuAtafanywaje?
Manyerere unatia kinyaa sijui ni kwasababu ya lishe duni mnayopata kule mnakotoka au ni njaa tu? Umsaidie nini mtu aliyeapa kutofukua baadhi ya makaburi?Kifuatacho ni kwa majahili hawa kutoroka nchi. Tuungane na Rais kupambana na ufedhuli huu.
Mwenye pesa si mwenzio!Presidaa alikuwa na hamu ya kumuona Mpemba eti anamsikiaga tu. Mpemba jeuri yako tumeona, unavuruga mbugani hadi mahakamani.
nani anyookeMtanyooka tu