Washukiwa wa shambulio la kigaidi la "Crocus" wanasema kwamba walikuwa wakisafiri kwenda Kiev kupokea zawadi waliyoahidiwa

Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine umeiachia Urusi madhaifu mengi kwenye intelijensia yake ikiwemo kutengwa kimataifa katika masuala ya intelijensia.
Israel, German na US zote hizo hazijatengwa kimataifa yet ugaidi hutokea, vipi nongwa kwa Urusi, twambie we mcha-'mbuzi' the great.
 
Tangu shambulizi lilipofanyika urusi anaimba wimbo uleule tu wa kumtupia Ukraine lawama, ajabu hakuna chochote kimebadilika Ukraine,kama mashambulizi kwenye miundombinu na kwingineko yalikuwepo tangu mwanzoni mwa uvamizi!
Anatafutiza sababu za kuokoteza ili kuhalalisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine.

Hahitaji kutafutiza sababu, yeye ashambulie tu, yeye si ni mbabe!
 
Taarifa kwa kiasi kikubwa zinatoka Makundi ya Telegram, toka vita vya Ukraine na Urusi ianze kuna page za telegram zinajulikana ambazo zina inside info, hio ya hao jamaa kulishwa dawa so far Urusi wenyewe hawajaizungumzia ila tayari imeleak, hizo video zote za kukamatwa ni wanajeshi wenyewe wame upload mpaka kisu kilichokata wamekipiga mnada.

Kuhusu zawadi inawezekana ni kauli tu za kisiasa.
 

View:
Tumewarahisishia%20hamna%20haya%20kusafiri%20umbali%20mrefu%20kufata%20zawadi..%20Russia%20itawapatia%20zawadi%20kubwa%20zaidi%20ya%20Hiyo
 

Attachments

  • IMG_20240328_213709.jpg
    80.1 KB · Views: 1
Kwa case kama hiyo ata ukisema ukweli bado maafIsa wanajua unadanganya wanazidi kuminya mbupu.🀣🀣🀣
Shida ya mpelelezi anaekufanyia mahojiano akiwa na majibu kichwani yani wanataka uwaambie tumetumwa na marekani uingereza akishirikiana na Ukraine apo ata bikira wa kirusia utapewa ata kama ulikua gaidi.
 
Kila kitu waseme ni Ukraine???

Hii mpya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…