ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,604
Mpaka sasa wameshachelewa.Utawala wa Putin utafanya kila namna Ukraine ibebe hii lawama ili wahalalishe Vita yao.
Ila uzembe wa FSB yao utafichwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa wameshachelewa.Utawala wa Putin utafanya kila namna Ukraine ibebe hii lawama ili wahalalishe Vita yao.
Ila uzembe wa FSB yao utafichwa.
Hizo ni fikra zako na mahaba yako..
View: https://x.com/mylordbebo/status/1773823408603615608?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Israel, German na US zote hizo hazijatengwa kimataifa yet ugaidi hutokea, vipi nongwa kwa Urusi, twambie we mcha-'mbuzi' the great.Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine umeiachia Urusi madhaifu mengi kwenye intelijensia yake ikiwemo kutengwa kimataifa katika masuala ya intelijensia.
Anatafutiza sababu za kuokoteza ili kuhalalisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine.Tangu shambulizi lilipofanyika urusi anaimba wimbo uleule tu wa kumtupia Ukraine lawama, ajabu hakuna chochote kimebadilika Ukraine,kama mashambulizi kwenye miundombinu na kwingineko yalikuwepo tangu mwanzoni mwa uvamizi!
Kakojoe ulale unadhani kira mjamii forum yuko tandale kwa tumbo au namabengoHizi taarifa bila shaka umezipata kutoka "RADIO KOMBOLELA"
Taarifa kwa kiasi kikubwa zinatoka Makundi ya Telegram, toka vita vya Ukraine na Urusi ianze kuna page za telegram zinajulikana ambazo zina inside info, hio ya hao jamaa kulishwa dawa so far Urusi wenyewe hawajaizungumzia ila tayari imeleak, hizo video zote za kukamatwa ni wanajeshi wenyewe wame upload mpaka kisu kilichokata wamekipiga mnada.Kwa kiasi kikubwa taarifa tulizopata mpaka sasa ni kutoka kwa watuhumiwa walioteswa. Hatuwezi kuujua ukweli kamili kwa staili hiyo.
Kuna mwanajeshi yeyote aliyerekodi live huo msafara wa watuhumiwa kuelekea Ukraine na ana ushahidi kwamba walikuwa wanaenda kupewa zawadi? Ama ni kauli tu zilizotolewa na watuhumiwa?
Wanaukumbi.
MPYA: 🇷🇺🇺🇦 Washukiwa wa shambulio la kigaidi la "Crocus" wanasema walikuwa wakisafiri kwenda Kiev kupokea zawadi waliyoahidiwa - RIA
Washtakiwa katika kesi ya shambulio la kigaidi huko Crocus walisema wakati wa mahojiano kwamba baada ya shambulio hilo walikuwa wakielekea Kiev kwa tuzo, Kamati ya Uchunguzi iliripoti kwenye chaneli ya Telegraph.
"Kwa maagizo ya mratibu, baada ya kufanya uhalifu, magaidi waliendesha gari kuelekea mpaka wa Urusi na Kiukreni ili kuvuka na kufika Kyiv kupokea thawabu waliyoahidiwa," chapisho hilo linasema.
Watu waliohusika katika kesi hiyo waliripoti kwamba vitendo vyao katika hatua ya maandalizi na baada ya shambulio kwenye ukumbi wa tamasha viliratibiwa na mtu fulani kupitia ujumbe wa sauti kwenye Telegraph.
Uchunguzi unaendelea kubaini wawakilishi wa huduma maalum za Kiukreni zinazohusika katika kuandaa na kufadhili shambulio la kigaidi.
NEW: 🇷🇺🇺🇦 The suspects in the "Crocus" terror attack say that they were traveling to Kiev to receive the promised reward - RIA
The defendants in the case of the terrorist attack in Crocus said during interrogations that after the attack they were heading to Kiev for a reward, the Investigative Committee reported on the Telegram channel .
“On the instructions of the coordinator, after committing the crime, the terrorists drove in a car towards the Russian-Ukrainian border to subsequently cross it and arrive in Kyiv to receive the reward they were promised,” the publication says.
The persons involved in the case reported that their actions both at the preparation stage and after the attack on the concert hall were coordinated by a certain man through voice messages on Telegram.
The investigation continues to identify representatives of the Ukrainian special services involved in organizing and financing the terrorist attack.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1773757744958382495?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw%5B/
Kila kitu waseme ni Ukraine???Hakuna lolote .......wale jamaa wanateswa na wanaambiwa hili mateso yapungue kira kitu waseme ni Ukraine......maana hata passport zao walisema ni za Ukraine kumbe uongo mijamaa ni kutoka Tajikistan..........yaani kira wakitaka kufanya kitu kina goma ......ila wanahalalisha vita kwa sababu walikuwa kwenye smo iliyoipa urusi gharama kubwa sana tokea taifa lile liundwe sasa hivi mafuta anaagiza Belarusian kwake jamaa wamelipua karibia visima vyote