Mzee Es,
Nimeyasema yote kwa sababu wewe mwenyewe umeanza kuponda kijiwe hiki.. na ahadi za kuondoka kuwa hapakufai. Nimekutakia kila la kheri, na sidhani kama wewe kweli ni Mzee Ee ila mtu anatumia kivuli chake.
Pili, Huyo mbunge aliyesimamishwa Marekani kwa sababu ya jina inakupa wewe furaha gani?....Yaani hata sielewi uhusiano wa kusimamishwa mtu kwa sababu ni muislaam na unaanza kulaumu JK kwa uteuzi wa muislaam., hali huyu ni mbunge aliyechaguliwa kwa kura na wananchi.naona sasa tumeingia ktk mambo ya Hamas, Ossama na politics za Marekani. Nadhani picha yako hasa ndio imejitokeza zaidi na mtalia kilio cha punda. Wakristu wataendelea ku-enjoy life zao kama vile JK hakuwepo isipokuwa wale mnaotaka kubebwa.
Mzee Es hakuna mtu anayetaka kuharibu mada hapa isipokuwa nadhani naweza kusema nyie. Hakuna mkono wa mtu toka nje na kama kijiwe hiki kitakuja vurugika ni kwa sababu yenu kwani sijaaga ama kukiweka chini kijiwe hiki. Isipokuwa nazungumza mawazo yangu kuhusiana na yale mnayosema. Hata hivyo bado tunakupenda TEF sana tu, labda wewe hufahamu..na wala sio kwa dini yako ila reality unayotupa pale unapofahamu.
Sam,
Sifa za balozi sio kusomea foreign relation zipo nafsi zinazohusu foreign relation. Tazama balozi wa Marekani hapo bongo Nd. Michael Retzer huyu ana digrii ya - Bachelor of Arts, na alikuwa Captain ktk air force. Bi Janet Graham wa Canada hakusomea foreign relation na wala Andrew Pocock wa Uingereza. Sijui hizi sifa zako umezipata wapi....
The reasoning mind can not work under any form of favoritism - well, I guess you wanted JK to favor Christians.