Wasichana na Kizazi hiki wamekuwa hatari sana

Hawa watu ukiwafatilia sana utaumia kichwa kuna ambao wanajichukulia kama bidhaa nakushauri fanya kama watakavo but with precautions zaidi ya hapo utaonekana boya of the century.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Kajala na mwanao huko mlipo tunawaomba mje kuwapa somo wanawake wenzenu hapa JF.
 
Wape na suluhu sasa waache kudanga wafanye nini!!!

Kwani wengine wasio danga wanafanya kazi gani?... akili ukiiset kwenye ujinga utakuwa mjinga na ujinga utaona ndio suluhu ya matatizo yako..

Ni sawa na jambazi, mwizi au mchawi - hizi ni tabia za kipumbavu ambazo chanzo chake ni upuuzi kichwani na uvivu wa kufikiri...eti nisipoiba nitafanya kazi gani? kwani ambao hawaibi wanafanya kazi gani?
 
Kudanga kumekuwa ndo njia rahisi ya kujipatia kipato kuliko kuajiriwa, kwanza kudanga unajiajiri huduma yako ni mobile unaipeleka popote kulingana na dau, huhitaji kutafuta mtaji ama vyeti......hata wateja nao wapo ukiona hivyo.....hasa kwa mpalange.....
 
Sio kudanga sema UMALAYA....hii tabia ya umalaya mpya wa kuuzia K nyumbani au ofisini ni utaratibu tu wa Umalaya au biashara mpya ya ukahaba ambayo haina tofauti na wale wanaojipanga barabarani, utofauti tu wa eneo na mbinu....ila wote ni MALAYA/MAKAHABA/WAUZA K/MAPAKA/WAROAD nk....
 
Ajira hamna... alisikika mdangaji mmoja akiongea peke ake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…