Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Umenena vyemaKwani wengine wasio danga wanafanya kazi gani?... akili ukiiset kwenye ujinga utakuwa mjinga na ujinga utaona ndio suluhu ya matatizo yako..
Ni sawa na jambazi, mwizi au mchawi - hizi ni tabia za kipumbavu ambazo chanzo chake ni upuuzi kichwani na uvivu wa kufikiri...eti nisipoiba nitafanya kazi gani? kwani ambao hawaibi wanafanya kazi gani?
Kingsmann