Wamejiwekea hadi madaraja wanataja dau......huu ni upunguani mkubwa kwa mtoto wa kike, mtoto wa kike unajifanya kama bidhaa inayouzwa sokoni! sitaki kutaja makabila lakini mjiangalie sana kama mnatunza hadhi ya mtoto wa kike ambaye anategemewa kuwa mama wa familia na taifa kiujumla.Wasichana wa siku hizi hawana future yeyote kwenye Maisha zaidi ya Kuwaza good life kupitia kudanga Dahhh inasikitisha Ongezeko la wasichana kudanga limeshamiri kwa kasi sana Wameona kudanga ndo deal [emoji53] Wasichana wa kuanzia Age ya 18-28 iseeee wamechachuka kwenye kudanga yaani ni balaaa baada ya Miaka mitatu Naona ongezeko kubwaa sana la Ukimwi (HIV) kwa Wasichana wa kuanzia 18-28 [emoji2319]
Wadada punguzeni tamaa ya Maisha Mazuri ya slope