Wasichana na Kizazi hiki wamekuwa hatari sana

Wasichana na Kizazi hiki wamekuwa hatari sana

Kwanini siku hizi hunipendi kama zamani? Nimwachie Mungu?
Nakupenda sana jaman ila roho nayo inauma maana unavyobebishwa huku ni hatari na nusu ila nilimwachia Mungu.
 
Nakupenda sana jaman ila roho nayo inauma maana unavyobebishwa huku ni hatari na nusu ila nilimwachia Mungu.
Aaaah jamani.. nani ananibebisha?

Usitishike na miluzi mingi, mie mbwa wako naujua mluzi wako....
 
Aaaah jamani.. nani ananibebisha?

Usitishike na miluzi mingi, mie mbwa wako naujua mluzi wako....
woow hujui vile naumia ndo maana unatamka kirahis ...ila acha Mungu anijibu tu sina namna ingine
 
Usiumie bhana. Utaifanya roho yangu itengane na mwili
isitengane bhana though unanifanyia hivyo lakini bado nakupenda,,,,si unajua ule usemi with time ataacha ndio nimeweka akilini mwangu na maisha yanaenda...sasa mwili ukitengana na roho huoni utaniumiza zaidi?

acha hizo basi.
 
Dunia ina kasi sana, siku hizi ukimsalimia du tu tayar ushaitwa mume na viutani utani vya kujilengesha.... Ukilegeza kidog vibomu na vilunch vya ovyoovyo vitakuhusu..... Kiukweli siku hizi wamekuwa ombaomba sanaaaaa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana nimepaki sinza inasikitisha sana vitoto vya udsm

Taifa letu limepotea kabisa vitoto vinaingizwa kwenye magari na kuchezewa inauma kama una mtoto wa kike kama nilivyo Mimi

Natakiwa kupambana sana mtoto wangu elimu ya juu akasome hata ulaya uko bora wazungu wanajua kufanya ngono salama.

Mungu atunusuru
Anzeni kwanza nyie wazee kuacha kupenda wasichana wadogo.
 
Yaani ni janga, na nyie ndio mnaowachachua. Haya pamabaneni, sijui tunatengeneza kizazi cha aina gani[emoji2297][emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23] daaah
 
Alooo papuchi nyingi Zina sura mbaya aiseee dah
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
utasema kongoro
na sasa hiv sio wasicahana wanaojiuza tu hata hawa madem zetu huku mtaani wamekua cheap mnoo yani mademu hawana hiyana kabisa demu unatongoza leo kesho anakupa mzigo aisee asa usiombe uwe na geto utavitafuna hadi utaona hichi nini mana inafikia muda hadi unaulizwa "my kesho utakuwepo nije" ni hatari hii wanangu. Unaweza ukakutana na msichana hata hamjuan kabisa ukimpigisha stori kidogo then ukimuomba namba anakupa baadae unamtongoza anakubali bila shida na mzigo unapewa kiulain kabisa . Binafsi hapa nimetongoza demu mpk najuta kwann nimemtongoza mana kila saa anataka kuja geto hadi imekua kero sometime akija nikiwa namishe zangu nataka kutoka huwa anagoma kuondoka ananambia nimuchie funguo nikirudi nitamkuta, maamae yani demu ananifanya muda wote nifikirie papuchi tu baada ya kuwaza mipango ya kusaka mavumba

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
angalia ndo anajimilikisha geto hivyo..huwa najihami sana na mapigo ayo
 
isitengane bhana though unanifanyia hivyo lakini bado nakupenda,,,,si unajua ule usemi with time ataacha ndio nimeweka akilini mwangu na maisha yanaenda...sasa mwili ukitengana na roho huoni utaniumiza zaidi?

acha hizo basi.
Angalau umenipa matumaini maana mapigo ya moyo yalianza kuchukua kasi...

Baada ya kusema hayo napenda kukuthibitishia kuwa nakupenda sana, ntaendelea kukupenda kila kesho na daima. Ukidedi nakufuata twende wote...
 
Sasa na nyie kuomba kwani tutalazimisha mtuombe? Tatizo mnatumia kitumbua kama chambo bhana...

Afu wanaume sijui tukoje... kitumbua kina sura mbaya kama nini lakini unakuta tuko bize tunakilamba kama nyau...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaah wee lol
 
Angalau umenipa matumaini maana mapigo ya moyo yalianza kuchukua kasi...

Baada ya kusema hayo napenda kukuthibitishia kuwa nakupenda sana, ntaendelea kukupenda kila kesho na daima. Ukidedi nakufuata twende wote...
na leo hunipendi sio? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Anzeni kwanza nyie wazee kuacha kupenda wasichana wadogo.
Sasa wasichana wadogo watapendwa na nani kama vijana ndo wameamua kula chipsi yai, urojo, kusuka nywele, kuvaa hereni na kuvaa suruali chini ya makalio?
 
Back
Top Bottom