Wasichana na Kizazi hiki wamekuwa hatari sana

Halafu ukimuingiza lodge mupo kitandani hamujavua chochotr utasikia "unanipa sh ngapi" hapo hapo stimu inaisha kumwabia basi unataka lkn ukimuangalia Songoro kashadinda unakubali bora yesheeeeeee
 
Wasichana wa siku hizi hawana future yeyote kwenye Maisha zaidi ya Kuwaza good life kupitia kudanga Dahhh inasikitisha Ongezeko la wasichana kudanga limeshamiri kwa kasi sana Wameona kudanga ndo deal [emoji53] Wasichana wa kuanzia Age ya 18-28 iseeee wamechachuka kwenye kudanga yaani ni balaaa baada ya Miaka mitatu Naona ongezeko kubwaa sana la Ukimwi (HIV) kwa Wasichana wa kuanzia 18-28 [emoji2319]
Wadada punguzeni tamaa ya Maisha Mazuri ya slope
Kwani mama D anasemaje kwenye hili janga?
 
Tena hizi iphone especially macho matatu zimewafanya watoto wa chuo wafukuliwe sana mitaro..
giphy.gif
 
Kwani mama D anasemaje kwenye hili janga?

Asprin nimefika

Wasichana wa siku hizi hawana future yeyote kwenye Maisha zaidi ya Kuwaza good life kupitia kudanga Dahhh inasikitisha Ongezeko la wasichana kudanga limeshamiri kwa kasi sana Wameona kudanga ndo deal [emoji53] Wasichana wa kuanzia Age ya 18-28 iseeee wamechachuka kwenye kudanga yaani ni balaaa baada ya Miaka mitatu Naona ongezeko kubwaa sana la Ukimwi (HIV) kwa Wasichana wa kuanzia 18-28 [emoji2319]
Wadada punguzeni tamaa ya Maisha Mazuri ya slope

Mungu aliwapa wanaume jukumu la kutuongoza, ikiwa wanaume wakiamua haya mambo yote yaishe yataisha
 
Umetusahau 29-50....yaan mpaka Jana nimewaza ivi nami ikifika 50 nitakuwa na hamu na sex tena? Maana 50 wanavyoliwa na vijana huku kitaa...balaa.Afu ukimwi hauna rika mkuu
 
Halafu ukimuingiza lodge mupo kitandani hamujavua chochotr utasikia "unanipa sh ngapi" hapo hapo stimu inaisha kumwabia basi unataka lkn ukimuangalia Songoro kashadinda unakubali bora yesheeeeeee
Hakunaga Cha bure siku hz
 
Swala la kuoa ni changamoto sana kipindi hiki ...coz...Watoto wanachakatwa kwel kwel ..Tamaa na show off za kijinga ndo zinawapoteza ..siku hz route ya kwampalange gari zinajaa
naogopa kuuliza hili neno kwa mpalange ila acha niulize tu nielewe

pls mkuu niambie maana ake
 
Asprin nimefika

Mungu aliwapa wanaume jukumu la kutuongoza, ikiwa wanaume wakiamua haya mambo yote yaishe yataisha
Sasa na nyie kuomba kwani tutalazimisha mtuombe? Tatizo mnatumia kitumbua kama chambo bhana...

Afu wanaume sijui tukoje... kitumbua kina sura mbaya kama nini lakini unakuta tuko bize tunakilamba kama nyau...
 
Back
Top Bottom