Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
Uko sahihi kwa hili pia. Basi angalau umkute mtu anajishughulisha na kufanya kitu/kazi basi.Nakazia kuwa waache tamaa ya kutazama karibu.
Ni heri waanze zero na wanandoa wao
Wanaume waine tofauti anawataka yeye peke yake??Tolu, rich, dark and handsome [emoji56][emoji23]
Samahani kuhunifahamu mimi sikusema wewe unasimanga kazi ya mtu.We dada sijui mama una matatizo ya akili? Nimesimanga kazi ya mtu? Hivi mods kuna uwezo wa kublock mtu asiwe ana reply post zako. We mama tafuta wachumba huko uk mimi niache eboo
DahhhhhhMwanamke akiwa bado Mdogo ki-umri ndo anakuwaga na Akili zake timamu na sio TOFAUTI na hapo! .
Ndo maana ukimuoa mwanamke wa umri 18-20 wanaweza vumilia up &down tofauti na hawa 30+
Na miguu je ??Kuna msemo unasema hivi,kuchamba kwingi utaambulia kujinusa mkono
Sitaki uke wenza. π³π€Nipo mzee hapa, njoo uwe mke wa tano
Watoto gani ??Punguza masharti watoto wapatikane mapema
Uko sahihi lakini kijana sio kwa umri wangu. ππNi bora ukutane na kijana kuliko muhuni aliyezeeka
ππVigezo na masharti kuzingatiwa wapo Wanaume pia wanaweka kigezo cha Dini na kazi.
Unazaa kwa mkatabaSitaki uke wenza. π³π€
Umri mkubwa huo, unavyozidi kuchelewa unaweza kupata mtoto asiyekuwa na virutubisho sahihi.Watoto gani ??
Wanaume wamefanywa kuwa chuma uleteNi wanaume pekee ambapo wakitaka kuoa wana consider kigezo cha tabia njema,ila wanawake wao wanacho angalia hela haijalishi anafanya kazi ya aina gani wao ni hela.Dada zangu wengi wao hawanaga time na mwanaume mwenye vision wala kusuport vision zake.
Hii kama inanihusu mimi, ni kweli kabisa. Na wanawake wanao angalia hela tu sio sawa pia. ππNi wanaume pekee ambapo wakitaka kuoa wana consider kigezo cha tabia njema,ila wanawake wao wanacho angalia hela haijalishi anafanya kazi ya aina gani wao ni hela.Dada zangu wengi wao hawanaga time na mwanaume mwenye vision wala kusuport vision zake.
Samahani hii kama yangu mimi,Unazaa kwa mkataba
Samahani hii kama yangu mimi,Umri mkubwa huo, unavyozidi kuchelewa unaweza kupata mtoto asiyekuwa na virutubisho sahihi.
Samahani hii kama yangu mimi,Wanaume wamefanywa kuwa chuma ulete
Na ni ngumu kuibadili siku hizi imekuwa kama trends na mara nyingi dada zangu huwaga wanaumia hasa wakikutana na mwanaume katili na hasiye jali future ya mwanamke, kwani huishia kuwa single mother.Hii kama inanihusu mimi, ni kweli kabisa. Na wanawake wanao angalia hela tu sio sawa pia. ππ
Kwa kweli yote unayosema ni sahihi kabisa.Na ni ngumu kuibadili siku hizi imekuwa kama trends na mara nyingi dada zangu huwaga wanaumia hasa wakikutana na mwanaume katili na hasiye jali future ya mwanamke, kwani huishia kuwa single mother.
Mwanaume akipendewa hela anajua tu hapa sipendwi na mwanamke hutegesha mimba kwa kuamini ataolewa kumbe jamaa nae mpitaji.
Nashindwa kuelewa kwa nini baadhi ya dada zangu hawafanyi kazi na kuweza kujitengemea?? ππNa ni ngumu kuibadili siku hizi imekuwa kama trends na mara nyingi dada zangu huwaga wanaumia hasa wakikutana na mwanaume katili na hasiye jali future ya mwanamke, kwani huishia kuwa single mother.
Mwanaume akipendewa hela anajua tu hapa sipendwi na mwanamke hutegesha mimba kwa kuamini ataolewa kumbe jamaa nae mpitaji.