Acha Uvivu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 524
- 131
bora wadada wanaofuga kucha ndefu kwani pia huwa zinavutiaTabia ya madada kuacha kucha ndefu bila kupunguza imefikia mahali tuulize kuwa ni kwa kusudi gani hasa. Hivi karibuni nilikuwa safarini toka Tanga wilaya ya Handeni. Kuna dada alipanda kwenye gari ambayo ilijaa sana. Katika harakati za kupanda na kupata nafasi mdada huyo alimparua babu mmoja usoni damu ikaanza kutoka. Madada huu utamaduni wa kukuza kucha ni vema mkaweka wazi kusudi lenu ili watu wasije anza chukia. Kwa nini mnaacha kucha ndefu jamani?
Jamani,mengine ni masharti ya wadhamini hebu acheni kuzonga watoto wa wenzenu
wadhamini gani hao watake hayo makucha??????????????Jamani,mengine ni masharti ya wadhamini hebu acheni kuzonga watoto wa wenzenu
waambie hao mkwe, ukidhaminiwa lazma ufate machariti...
Afazali umewaambia, yanauzi ajabu, yaani katikati ya kiduku limama mzuka unampanda linarusha makucha mpaka unajiuliza unafanya tendo la ndoa na binadamu au kenge?
Mood: hapa nimeongea kwa hasira kidogo
Hawaelewi mjini maisha magumu,shurti ushikilie mdhamini kwa makucha! Afu hizo kope umebandikia saluni gani unielekeze?
wadhamini gani hao watake hayo makucha??????????????
hehe King'asti bana! Mtu unasahau kondomu utakumbuka gloves? halaf mkiambiwa ukweli mnanuna unyumba wiki nzima.Hehehe,khabari yake mhanga wa makucha! Pole,mvalishe surgical gloves
hahahahhahah, mkwe mutoto ya mujini eeeeh? loh. mambo yote cute saloon mkwe, kesho naenda kubandika visigino.
Tunaupiga vita uzee mkwe,si unaona baba mkwe easy black mvi hamna hata moja.nipitie basi nikabandike hips naona skin tite zinapwaya
hehe King'asti bana! Mtu unasahau kondomu utakumbuka gloves? halaf mkiambiwa ukweli mnanuna unyumba wiki nzima.
wanawake bana!
nitakupitia mkwe, kama masikio yako yamekaa vibaya twende ukabandike mapya.