Wasichana Punguzeni Kucha

Wasichana Punguzeni Kucha

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
524
Reaction score
131
Tabia ya madada kuacha kucha ndefu bila kupunguza imefikia mahali tuulize kuwa ni kwa kusudi gani hasa. Hivi karibuni nilikuwa safarini toka Tanga wilaya ya Handeni. Kuna dada alipanda kwenye gari ambayo ilijaa sana. Katika harakati za kupanda na kupata nafasi mdada huyo alimparua babu mmoja usoni damu ikaanza kutoka. Madada huu utamaduni wa kukuza kucha ni vema mkaweka wazi kusudi lenu ili watu wasije anza chukia. Kwa nini mnaacha kucha ndefu jamani?
 
Huwa sili chakula alichopika mwanamke mwenye kucha ndefu.
 
Tabia ya madada kuacha kucha ndefu bila kupunguza imefikia mahali tuulize kuwa ni kwa kusudi gani hasa. Hivi karibuni nilikuwa safarini toka Tanga wilaya ya Handeni. Kuna dada alipanda kwenye gari ambayo ilijaa sana. Katika harakati za kupanda na kupata nafasi mdada huyo alimparua babu mmoja usoni damu ikaanza kutoka. Madada huu utamaduni wa kukuza kucha ni vema mkaweka wazi kusudi lenu ili watu wasije anza chukia. Kwa nini mnaacha kucha ndefu jamani?
bora wadada wanaofuga kucha ndefu kwani pia huwa zinavutia
na wanazitunza vizuri.
issue ni wakaka utakuta kafuga liukucha chafu
mpaka limebadilika rangi.... naboeka sana
pia na wanaovaa kk utakuta mpaka chupi
inaonekana,chupi yenyewe chaafuuu....
 
Jamani,mengine ni masharti ya wadhamini hebu acheni kuzonga watoto wa wenzenu
 
Nyingi ni za kununua siku hizi, kwa hivyo kama zinakukera mwambie aziweke pembeni kwanza
 
Hehehe,khabari yake mhanga wa makucha! Pole,mvalishe surgical gloves
Afazali umewaambia, yanauzi ajabu, yaani katikati ya kiduku limama mzuka unampanda linarusha makucha mpaka unajiuliza unafanya tendo la ndoa na binadamu au kenge?

Mood: hapa nimeongea kwa hasira kidogo
 
Hehehe,khabari yake mhanga wa makucha! Pole,mvalishe surgical gloves
hehe King'asti bana! Mtu unasahau kondomu utakumbuka gloves? halaf mkiambiwa ukweli mnanuna unyumba wiki nzima.
wanawake bana!
 
Tunaupiga vita uzee mkwe,si unaona baba mkwe easy black mvi hamna hata moja.nipitie basi nikabandike hips naona skin tite zinapwaya

hahahahhahah, mkwe mutoto ya mujini eeeeh? loh. mambo yote cute saloon mkwe, kesho naenda kubandika visigino.
 
Tunaupiga vita uzee mkwe,si unaona baba mkwe easy black mvi hamna hata moja.nipitie basi nikabandike hips naona skin tite zinapwaya

nitakupitia mkwe, kama masikio yako yamekaa vibaya twende ukabandike mapya.
 
Lol! Sasa kama huogopi ukimwi unagopa kukwaruliwa mi ntakuambiaje?basi mvizie akisinzia unakata vidole vyote na sime,ntakuazima

hehe King'asti bana! Mtu unasahau kondomu utakumbuka gloves? halaf mkiambiwa ukweli mnanuna unyumba wiki nzima.
wanawake bana!
 
Maskio ntaongeza vitobo tu vya kuvalia hereni,afu nataka nitoboe pua pia. Kwa masonara tungeenda j2 ili tukanunue na karolaiti

nitakupitia mkwe, kama masikio yako yamekaa vibaya twende ukabandike mapya.
 
Back
Top Bottom