Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoma pima baada ya miezi mitatu uwa nashangaa mtu kafanya ngono jana kesho anakimbilia kupima.Nashukuru nimepima juzi tu hapa namaanisha last week
Mkuu nishapima sana ujue kiufupi nimeanza kupima nikiwa Tz kuanzia 2007 nimeanza hadi leo niko fresh.....Nashukuru sana kwahili nipo makini ile mbaya...Ngoma pima baada ya miezi mitatu uwa nashangaa mtu kafanya ngono jana kesho anakimbilia kupima.
Nimesoma story natafuta unoma wao sijaona unoma wowote.
Mimi naomba tu kukuuliza, South Africa ni lini hizi tavern zimeanza kuwa na wahudumu kama Bongo?Habari wakuu.
Hii imenikuta juzi tu hapa.
Mara kwa mara siku za weekend napenda kwenda club huku South Africa sasa bana kuna kidemu fulani hivi nishakipitiaga miezi iliyopita mara moja
Wakisaidiana na Wapedi!!Mkuu wazulu wametulia kazi ipo kwa hawa waXhosa achana nao kabisa
Wacha uongo hakuna sehemu iliyohalaloshwa ya kuuza nyapu....juzi tu hamefukuzwa unaongea nini mkuu mimi naishi huku...labda sheria hiyo ipo maadhi ya Province na wahudumu wapo kama kawaida kwenye clubsMimi naomba tu kukuuliza, South Africa ni lini hizi tavern zimeanza kuwa na wahudumu kama Bongo?
Pili kama ulikuwa hujui South Africa sex ni jambo la kawaida mno tena sana na ndio sababu biashara ya kuuza nyapu imehalalishwa sehemu za wauza nyapu first class ni za kumwaga.
Wewe kama upo South Africa kweli basi itakuwa unaishi location, tavern zote pombe ni self service au unanunuwa pombe liquor store unaenda kunywa nyumbani.Wacha uongo hakuna sehemu iliyohalaloshwa ya kuuza nyapu....juzi tu hamefukuzwa unaongea nini mkuu mimi naishi huku...labda sheria hiyo ipo maadhi ya Province na wahudumu wapo kama kawaida kwenye clubs
Hii ni sababu moja wapo inayowafanya Watanzania wengi hususani vijana wa siku hizi wanashindwa kutoka kimaisha.
Hebu fikiria mtu ameenda kuzisaka kwa watu alafu anaingia kwenye ulimbukeni na maisha ya starehe kiasi hicho? Starehe ambayo inamgharimu muda (mtu anakesha club mpaka saa kumi na moja alfajiri), hela (unaanza kulipia stahere, machangudoa na kuwalipia kodi yao ya nyumba), uwezekano mkubwa wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa (mwisho ni umauti tu) na kibaya zaidi ni uwezekano wa kuingia kwenye mikono ya wahuni wakakumalizia mbali kwa kujifanya mjanja.
Mwisho wa siku jeneza linaporudi Tanzania, utasikia mtoto wetu amerogwa, hakuna mchawi hapo. Ni mfumo wa maisha aliyochagua mtu.
Utapoteza fursa na muda ujanani vibaya mno usipojiangalia, utakuja kulia chooni.
Hatari sanaaWimbo wa Ally Kiba ulipendwa sana enzi hizo
Na ukija kuchunguza kwa makini wanaofanya starehe na ndio haohao wenye maendeleo.Hayo ndiyo maisha ya vijana wa kileo!
ukiona huyaishi au hujawahi yapitia maisha ya namna hii basi wewe bado sana kuyaenjoy maisha kama mwanadamu wa kawaida
kifo kipo na kila mtu atakufa,
kazi maendeleo na starehe lazima viende sawia