Wasichana wa humu JF hawaeleweki na hawako serious ktk mahusiano.

Hata Njiwa hutafuta Panzi ili apate mpenzi
 
nilikata baada yako....ziro za form four ni janga kweli la kitaifa
Unalia nini we mbovu tu,ziro zimeingiaje hapa kimeku-touch eeeeh unataka mavumba wakati sura ya kujifungulia...
 
Ni vigumu kupata mke mtandaoni, hapa ni maslahi MBELE.

Mi naona hata wanaotanguliza maslahi wanafaa tuuu mbona mabaamedi wakiolewa wanatulia na kuwa mamii boooomba; hako ni kaugonjwa tu na kanapona upesi sana kutegemea na mazingira
 
tatizo na nyie mnatanguliza kugegedana kwanza ndo mana 2nawawahi na mijihela.we m2 hamjuani ila anataka mkikutana mlale
 

Ungeniuliza kwanza kabla ya hatua yoyote, na bado.
 
Pole sana ndugu, jamani kama haupo serious kwa nn unaanza kum pm mtu na umeona kabisa kqenye status ameeleza anachotaka? guys tupunguzeni utani.
 
Pole,usivunjike moyo...endelea kutafuta tu utampata wako wa ubani iwe hapa au kwengineko...Wapo walio wakweli humu...labda hukubahatika tu kujuana nao 🙂
 

kumbe unachagua na kubagua eh, kama unataka mweupe kaoe mzungu tena hawaombagi pesa wa bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…