ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Ndio wewe nini umekata ringi....una roho mbaya wewe khaaaa....sikutegemea mtu mzima kaka wewe unaweza kuandika hivi ..weka picha ya mpenzi wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wewe nini umekata ringi....una roho mbaya wewe khaaaa....sikutegemea mtu mzima kaka wewe unaweza kuandika hivi ..weka picha ya mpenzi wako
nilikata baada yako....ziro za form four ni janga kweli la kitaifaNdio wewe nini umekata ringi....
Unalia nini we mbovu tu,ziro zimeingiaje hapa kimeku-touch eeeeh unataka mavumba wakati sura ya kujifungulia...nilikata baada yako....ziro za form four ni janga kweli la kitaifa
mbona hajakutaja mkuu?
Unalia nini we mbovu tu,ziro zimeingiaje hapa kimeku-touch eeeeh unataka mavumba wakati sura ya kujifungulia...
Ni vigumu kupata mke mtandaoni, hapa ni maslahi MBELE.
Habari za asubuhi memberz! Mimi ni miongoni mwa wavulana nilowahi kuweka bandiko langu hapa la kusaka mchumba, walijitokeza mabinti kama wa 3 hivi ila nilichobaini hawakuwa kimapenzi bali kimaslahi zaidi kwani wote niliendelea kuwasiliana nao, ila baada ya muda kila mmoja akaanza mara samahani nina shida na elfu 50, kiukweli ni jambo gumu kutoa pesa kwa mtu ambae cmfahamu. Wote baada ya kuona pesa haitumwi wakaamua kuvunja mawasiliano! Kimsingi bado nipo na hitaji hilo na kwa yule anaeona yupo serious ktk kuanzisha familia naomba aniPM tafadhari ila ikiwa upo kimaslahi ucpoteze muda. Sifa za binti nimtakae asizidi miaka 29 pia awe mweupe na asiwe mnene wala mrefu sana, nashukuru na mungu awabariki.

ha haaa,jamani wapo,ila tu ww hujakutana nae!
Halafu na nyie mmezidi,vigego kibao,ndo maana mnawapata hao