DENA umeachwa niini? Mimi Sikubaliani na wewe!
Habari zenu wote.
Kuna sababu nyingi zinachangia mtu kuachwa
1. Mwanamke anabadilika akisha ingia ndani
2. Mwananmke akuheshimu tena
3. Ana mahusiano mengine nje ya ndoa
4. Alikupendea pesa sasa kaona mambo yanaenda vibaya anaanza kuhangaika
5. Zipo sababu nyingine nyingiiiiiiiiiii
NB: Kukubali au kutokubali inategemea sababu hapo juu!!!!!!!!!!!!!!!
Obutnu wewe vipi bwana kwanini unapotea hivyo si vizuri. Tupo tumepata chat room mpya ile waliipeleka kwa wakubwa hukooooooo
Kumbe ndiyo maana - Nimekuwa nikiitafuta kweli - I'm missing it kwa kweli duh!
Watu wazuri wako wapi? Maana I'm missing WiseLady, Afrodenzi, na Dena!
Kuna wanoko walionea donge ikahamishwa tukaanzisha hii nyingine, AD na WL wapo wewe ndo ulipotea sana. Nakutakia sikukuu njema ya christmas na mwaka mpya wewe pamoja nafamilia yako Obuntu
Mihangaiko ya Sikukuu na kumbuka baada ya wiki mbili watoto lazima warudi shule!
Enjoy na wewe pia - Ila kumbuka usiendeshe gari ukiwa umekunywa pombe ya kupindukia!