Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
- Thread starter
- #961
DENA umeachwa niini? Mimi Sikubaliani na wewe!
Habari zenu wote.
Kuna sababu nyingi zinachangia mtu kuachwa
1. Mwanamke anabadilika akisha ingia ndani
2. Mwananmke akuheshimu tena
3. Ana mahusiano mengine nje ya ndoa
4. Alikupendea pesa sasa kaona mambo yanaenda vibaya anaanza kuhangaika
5. Zipo sababu nyingine nyingiiiiiiiiiii
NB: Kukubali au kutokubali inategemea sababu hapo juu!!!!!!!!!!!!!!!
Tushatoka siku nyingi huko sijaachika na wala sina mpango huo hata kidogo!!!!!