Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Ha ha ha ha ha My Darling umenitendea haki mwambie huyu Bacha asikie namweleza haelewi. Nimekugongea na Thanks kwa msisitizo

usiombe msaada, hebu leta majibu ya kueleweka bana!!!!!
 
mmh shostito apo kuna mawili mama
1.kuna aliyeachana na mkewe kwa sababu za msingi kabisa
2.kuna walioachana na wake zao kwa ugume gume wao....
cha msing siyo kukupuruka ....mkae vkao na umdadis kwakina ndo utajua nin kilimsibu kinyume na hapo imekula kwako
km vile kuna wanawake mashetani...i do blv umesoma boardng skul hasa za wasichana tupu yan kuna bnadamu wengne wana tabia ngumu sana huwez ishi nae ,awez ishi na mtu she z so dfcult so hard ni mbish kwa kila kona yeye yupo kivyake tu na idea zake iki ni kisu lakin anaweza sema i ni sufuria...kuna tabia mbalimbali mpk mnasema mmh uyu atakaye kuwa mume wake atakuwa na tabu....alikadhalika na wanaume the same...ni mbishi tu mwanzo mwsho iz ol abt him thats ol....so km ikitokea umemuoa uyo na badaye ukashndwa nae apo mi ntaelewa....kuna bnadamu wengne si wakuish nao.

Yani hapo nakuunga mkono kabisa, sio shule za bweni tu hata maofisini. Yani unafanya kazi na mtu roho yake na mambo yake vinajitegemea, yeye ndo mjuajii, majungu mengi aanzishe kitu awe wakwanza kukivujisha, yani mtu anaogopwa au kuchukiwa na ofisi nzima mpaka watu ambao nivigumu kugombana nae, hana siri nikuongea tu hata plan zake na mumewe, wakipanga kujenga kesho keshatangaza ofisini ni ngum kwakweli, hapo bado.
 
Sasa tutajuaje tusipouliza?na ww unataka tukisikia tu 'nlikua na mke nikamwacha' tukimbie...

Lizzy, nataraji wewe ni mtu mzima sasa!wewe kama hujaolewa na umepata mwanaume ambae amemwacha mke wake, nadhani hata usijulize sana!huenda hiyo ndo ikawa bahati yako mama!achana na mawazo ya DA!YEYE AMEENDA KUVURUGA HUKO NA KUCHONGANISHA NYUMBA ZA WATU, KISHA ANAKUJA HAPA KUTUELEZA KUWA WANAUME WALIOACHA WANAWAKE WAO NDO WANA MATATIZO!
 
Dena,

Najua kuna matatizo makubwa tu yanayojitokeza pale mtu anapoa au kuolewa na mtu aliyetoka kwenye ndoa. Hata hivyo suala la mapenzi ni gumu sana na huwezi kulipigia conclusion kirahisi namna hiyo. Huwa haliendi kwa kanuni za kimahesabu..mfano 2+2=4!!!!!
 
lakini DC, ni kweli kuna matatizo au ni assumptions ambazo tunakuwa tunazijenga sisi wenyewe na matokeo yake zinatutesa sisi wenyewe?mi nafikiri inategemea kama ulivyosema kuwa mapenzi hayana formula!
Nadhani Dena atakuwa amepata ujumbe!!!!
 
Yani hapo nakuunga mkono kabisa, sio shule za bweni tu hata maofisini. Yani unafanya kazi na mtu roho yake na mambo yake vinajitegemea, yeye ndo mjuajii, majungu mengi aanzishe kitu awe wakwanza kukivujisha, yani mtu anaogopwa au kuchukiwa na ofisi nzima mpaka watu ambao nivigumu kugombana nae, hana siri nikuongea tu hata plan zake na mumewe, wakipanga kujenga kesho keshatangaza ofisini ni ngum kwakweli, hapo bado.

Hapo kwenye red umeniacha hoi
 
Sasa tutajuaje tusipouliza?na ww unataka tukisikia tu 'nlikua na mke nikamwacha' tukimbie...

Lizzy ulisoma between lines mwanzo nimesema uliza kwanza sababu ni ni hasa, zipo huko nilipoanzisha thread
 
Sayu aidomaa??? Hatujifurashi bwana ndoa ndoana ndo hiyo inatakiwa kuvumiliwa na sio kuachana

Mmmmmh, Kuvumilia????
Unamvumilia mtu asiyekupenda, wala hakutaki.

Unavumlia mateso na manyanyaso kutoka kwa nafsi ya mtu aliyekusudia kufanya hivo, wala hana mpango wa kubadilika.

Kisa ndoa (What is ndoa jamaniiiiiii????)
 
Lizzy, nataraji wewe ni mtu mzima sasa!wewe kama hujaolewa na umepata mwanaume ambae amemwacha mke wake, nadhani hata usijulize sana!huenda hiyo ndo ikawa bahati yako mama!achana na mawazo ya DA!YEYE AMEENDA KUVURUGA HUKO NA KUCHONGANISHA NYUMBA ZA WATU, KISHA ANAKUJA HAPA KUTUELEZA KUWA WANAUME WALIOACHA WANAWAKE WAO NDO WANA MATATIZO!

Kujiuliza ni muhimu bwana!Sitaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia!..ila kinachotakiwa hapo ni kupata facts ndo unaweza kusema huyu hafai
 
Dena,

Najua kuna matatizo makubwa tu yanayojitokeza pale mtu anapoa au kuolewa na mtu aliyetoka kwenye ndoa. Hata hivyo suala la mapenzi ni gumu sana na huwezi kulipigia conclusion kirahisi namna hiyo. Huwa haliendi kwa kanuni za kimahesabu..mfano 2+2=4!!!!!

Ha ha ha DC upo kumbe?? hesabu za mapenzi huwa 2+2= 22
 
Lizzy ulisoma between lines mwanzo nimesema uliza kwanza sababu ni ni hasa, zipo huko nilipoanzisha thread
Mpaka hapo nimekusoma mama!Asante kwakututahadharisha!...Badilisha title basi maana inaashiria direct attack!
 
Mmmmmh, Kuvumilia????
Unamvumilia mtu asiyekupenda, wala hakutaki.

Unavumlia mateso na manyanyaso kutoka kwa nafsi ya mtu aliyekusudia kufanya hivo, wala hana mpango wa kubadilika.

Kisa ndoa (What is ndoa jamaniiiiiii????)

Ha ha ha ha ha uvumilivu huutaki kabisa wewe haya
 
Back
Top Bottom