Wasichana wa kazi wanatutesaje

Nadhani kuna ulazima hii kazi ikafanywa kwa mkataba wa kimaandishi na malipo kuwa mazuri; mfano; ukibandika tangazo la kuitaji dada wa kazi, kwa mkataba wa miaka 2, mshahara Tsh. 300,000/mwezi. Nadhani waombaji utawakimbia mwenyewe. Huwa najiuliza inakuwaje wakenya wengi wako nchi za uarabuni wanafanya hizi kazi, huwa wanalipwaje?
 
usichukue hivyo vitoto acha vilelewe huko kwanza

unachukuaje katoto yani uje uanze kukalea kenyewe

halafu ndio akutunzie nyumba na mtoto,achana na hzo age.
Wanachukuaga vitoto ili wavipelekeshe wanavyotaka...

Wakichukua wanaojitambua kwaa manyanyaso yao watagombana tu...

Hakuna mtu mzima anayependa kunyanyaswa...
 
Pasua kichwa sio mchezo
Yaaani kanunuliwa simu na mume wa jirani
Kazi hazifanyiki anatuona wajinga wakati tumempokea na mfuko wa rambo

Sasa jamani hamtaki agegedwe....kugegedana ni basic human need.

Yaani mie ningekuwa mtawala hii mambo ya watu kuishi na house gelo hamna kabisa...mdada ana minyege yake wee unataka atulie ndani tuu...
 
Nimempata mmoja recently toka mafinga huko...

Ana watoto mapacha.

Naona anajielewa ila simu yake sasa. Waume zake nafikiri washashikwa nyege huko..ni full busy.

Yani niko standby kwa lolote anytime.
Hilo ni tatizo la hao single mother. Wakishatulia yeye na mwanae wakapata nguvu anawasiliana na waliomtelekeza anatoa udhuru. Hatarudi tena. Yaani unatumika kumlea yeye na mtoto akikua kidogo sahau ataondoka tu.
 
Naombeni ushauri tutapataje mmama wa kudumu??
Mimi nina mmama mtu mzima age kama 38 alikua anafanya kazi Oman za kulea watoto, mwaka wa tano sasa bado nadunda nae, sijawahi kumpangia kazi, huwa anajipangia mwenyewe na anajua kujiongeza kweli, ameolewa ana watoto wawili, yeye anafika saa 12 asubuhi na anaondoka 11 jioni, nina msichana mdogo lakini sina wasiwasi kwa kuwa huyu mama mtu mzima yupo, sababu ya kuweka haka kasichana kadogo ni kwa emergency lets say siku huyu mama ameshindwa kufika, au labda nikisafiri atlist nyumbani pawe na mtu

Hawa watu wazima wanajitambua sana though mshahlara wao ni mkubwa kidogo kuanzia 200,000 kwenda juu ila hutajuta, wala hutakua na muda wa kupigizana nae kelele maana anajua anachofanya na wana upendo sana na watoto, hawana hasira za hovyoo na ni waaminifu sana

Pia amekua kama ndugu kwa sasa maana ni muda mrefu na yupo very committed tena anaipenda kazi balaa

Nnachofanya kila mwaka huwa nampa salary increament hata kama ni ya 20,000 na vibonus vya hapa na pale
Mfano siku za sikukuuu huwa nawanunulia watoto wake vizawadi kama nguo, viatu, na mara nyingi pia huwa tunawaalika kwetu kama kukiwa na event hata watoto wake wanakuja wanalala, lengo ni sitaki kumpoteza mpaka wanangu wafike umri wa kujitegemea maana watoto wanampenda sana na anakaa nao vizuri

Pia na yeye huwa simsahau vocha za hapa na pale, vitenge, mkoba, just kump motisha

Ki ukweli ni mtu mzuri sana na anajituma mpaka unafurahi.

Kama ukimpata mtu mzima ambae anajitambua kwa kweli utasahau hizo adha za vischana vya kijijini vinavyosumbua kila kukicha
 
Pasua kichwa sio mchezo
Yaaani kanunuliwa simu na mume wa jirani
Kazi hazifanyiki anatuona wajinga wakati tumempokea na mfuko wa rambo
[emoji23][emoji23][emoji23] pole best, mimi huwa sichujui wasichana wa vijijini au nkoani, ni wasumbufu yani wakizibuka ndo utajuta, tafuta msichana wa kuja na kuondoka wa hapahapa mjini, huwa wanajitambua na hawana ushamba
 
Hilo ni tatizo la hao single mother. Wakishatulia yeye na mwanae wakapata nguvu anawasiliana na waliomtelekeza anatoa udhuru. Hatarudi tena. Yaani unatumika kumlea yeye na mtoto akikua kidogo sahau ataondoka tu.
Kabisa kabisa.
 
we mmama nichukue mimi sina kazi pia nina uzoefu wa iyo kazi yako lakini sharti langu sitaki mwanaume yoyote atakayekuja kulala ndani

Hiyo avatar yako inakuponza, niamini mimi.
 
Hio ni nzuri lakini si vema kukaa na msichana wa watu mpaka anakosa fursa za kuolewa na mengine mengi umri ukishaenda ni vigumu kupata fursa.
 
Nimempata mmoja recently toka mafinga huko...

Ana watoto mapacha.

Naona anajielewa ila simu yake sasa. Waume zake nafikiri washashikwa nyege huko..ni full busy.

Yani niko standby kwa lolote anytime.
😆😆
 
[emoji23][emoji23][emoji23] pole best, mimi huwa sichujui wasichana wa vijijini au nkoani, ni wasumbufu yani wakizibuka ndo utajuta, tafuta msichana wa kuja na kuondoka wa hapahapa mjini, huwa wanajitambua na hawana ushamba

Genye zinawasumbua jamani ndio maana wanachanganyikiwa
 
housegirls siku hizi ni moto
baada ya wewe uwapige interview wao wanakupiga wewe
mara nyumba ina watoto wangapi watu wanakaa mda gani nyumbani nyumba ina ukubwa gani duh
hahhaa..ukweli mtupu...na ukifanya mchezo wewe ndio unakuwa mdada wake
 
Ukimpata huyo beki tatu nipe namba yake

Ni mimi mudi mpemba dukani
 
[emoji23][emoji23][emoji23] pole best, mimi huwa sichujui wasichana wa vijijini au nkoani, ni wasumbufu yani wakizibuka ndo utajuta, tafuta msichana wa kuja na kuondoka wa hapahapa mjini, huwa wanajitambua na hawana ushamba
Nataka wa kuishi nae akiondoka usiku nitakuwa mpweke Sana bna
 
Una roho nzuri sana Mtende

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…