Wasichana wa kazi wanatutesaje

housegirls siku hizi ni moto
baada ya wewe uwapige interview wao wanakupiga wewe
mara nyumba ina watoto wangapi watu wanakaa mda gani nyumbani nyumba ina ukubwa gani duh
Bila kusahau watoto wana umri gani, wanatoka shule saa ngapi,
 
Una roho nzuri sana Mtende
Mtu anaekaa na wanao lazima umthamini sana, la sivyo nae hawezi juwathamini watoto wako

Sema wakati mwingine wadada huwa hawana shukrani hata uishi nae kama ndugu bado atakutenda, ila kwa huyu naona kama nimebahatika ndio maana sitaki kumpoteza
 
Reactions: BAK
Mi mwenyewe nilijibia moyoni kuwa inaonyesha ana tabia ya usimangaji nikapiga tu kimya isiwe tabu

Kusimanga ni kuongea jambo la ukweli katika lugha isiyo sahihi, kama dharau ivi au kejeli
 
Duh! Pale ambapo mshahara wa muajiriwa unazidi wa muajiri
 
nakumbuka wife alisema anataka HG nikamtafutia, yule bint alifika home nikiwa sipo na wife akamtimua the same day kabla sijarudi.... nikasema wacha nitafute hata picha ya huyo bint nimuone maana nilitafutiwa, baada ya kumcheki kwenye picha nikaconclude kua wife alikua na haki kabisa kumtimua maana lile lilikua balaa.
 
Mtu anaekaa na wanao lazima umthamini sana, la sivyo nae hawezi juwathamini watoto wako

Sema wakati mwingine wadada huwa hawana shukrani hata uishi nae kama ndugu bado atakutenda, ila kwa huyu naona kama nimebahatika ndio maana sitaki kumpoteza
angalia asije kukuchukulia mume akawa mke mwenza
 
wadada wa kazi ni binadamu kama binadamu wengine, hii nimeiona kwenye majumba mengi unakuta mda wa kula msaidizi utakuta yupo jikoni na sufuria la makoko ya wali wakati wenye nyumba wapo mezani wanakula, kwa nini uyu msaidizi na yeye awepo kwenye meza ya familia hili ni tatizo wakuu
 
Punguza na wewe kwenda kwenye majumba ya watu wakati wa chakula...
 
angalia asije kukuchukulia mume akawa mke mwenza
Sin hofu hiyo wala mawazo hayo ndugu, assume umemchukua mtoto wa shangazi yako kwa makubaliano kwamba baada ya kipindi fulani utamsomesha ili nae ajitegemee, unaweza kuanzisha nae mahusiano ya kimapenzi out of your wife?
 
hapana kama mnashea damu sidhani kitendo kama icho kitatokea but wanaume mara nyingi wanakuwa na akili kama watoto yapasa kuwa makini kwenye mji wako
 
hapana kama mnashea damu sidhani kitendo kama icho kitatokea but wanaume mara nyingi wanakuwa na akili kama watoto yapasa kuwa makini kwenye mji wako
Nashujuru kwa angakizo, ila na wewe nakupa angalizo kidogo, Jinsi ambavyo huwezi kufanya mahusiano na mtoto wa nduguyo au mtoto wako, same way ujaribu kuheshimu watoto wa wenzio au wake wa wenzio

Kila mtu ana mipaka kwenye mji wake, huyu mama nipo nae miaka mitano sasa kama kwa namna moja au nyingine ningemuona hanifai, nisingekua nae mpaka sasa, ila kwa kuwa ananifaa ndio maan anipo nae bila ya hofu na sote tunamchukulia kama mwanafamilia yeye pamoja na mume wake, na hata kwenye shughuli za kifamilia wamekua washirika wetu wa karibu sana

Wakati mwingine ni vizuri kuwa positive la sivyo utakuta unaogopa hata kumruhusu mumeo kwenda kazini maana kila mahali anakutana na wanawake tena wa kila aina
 
Hongera sana waajiri wengi husahau hilo na kuwanyanyasa HGs kupita kiasi pamoja na kuwa wanawaachia nyumba labda na watoto kwa masaa chungu nzima kwa siku.

Mtu anaekaa na wanao lazima umthamini sana, la sivyo nae hawezi juwathamini watoto wako

Sema wakati mwingine wadada huwa hawana shukrani hata uishi nae kama ndugu bado atakutenda, ila kwa huyu naona kama nimebahatika ndio maana sitaki kumpoteza
 
Eeeh alikuwaje?
 
Hahahah tahadhari kabla ya hatari...a
 
Mi mwenyewe nilijibia moyoni kuwa inaonyesha ana tabia ya usimangaji nikapiga tu kimya isiwe tabu

Kusimanga ni kuongea jambo la ukweli katika lugha isiyo sahihi, kama dharau ivi au kejeli
alafu anataka asapotiwe upumbavu...
 
Mfanye mkeo ajiamini kwako hata kama anakutana na mwanamke wa namna gani, inaonekana there is a way mkeo hajiamini kabisa na hii uneisababisha wewe

Kama umemuoa that means you chose her over everyone else, na that means she is the best kuliko yeyote uliyewahi kumwona, maintain hiyo hali kwake kwamba yeye ni best katika wote na hutamwona hata siku moja akiwa na wivu wa hovyo hata kwa madada wa kazi

If you underrate her, then sh will never feel safe hata mbele ya dada zako
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…