Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
Bila kusahau watoto wana umri gani, wanatoka shule saa ngapi,housegirls siku hizi ni moto
baada ya wewe uwapige interview wao wanakupiga wewe
mara nyumba ina watoto wangapi watu wanakaa mda gani nyumbani nyumba ina ukubwa gani duh