Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma, inayosadikika kupewa elimu ya dini

Duh...!. Ila serikali ifanye utafiti zaidi the motive behind, usikute kuna kampuni in export wasichana ma B kwa ajili ya kafara!.
Mtu anayetolewa kafara anapaswa awe B!.
P
Utawala ume-rush kutoa conclusion na maelekezo.
Human trafficking kupeleka waarabu vitoto vyenye Uzi ni kubwa na inalipa sana.
 
Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini.

Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.

Wameambiwa wanafundishwa dini, ukweli haujuikani lakini maagizo ya mkuu wa mkoa yanatia shaka hasa baada ya kutoa maagizo mepesi.

Mkuu wa mkoa alitakiwa atonyeshe hao wamilki, atuambie namna wamewapata hao wasichana bikra,mwazazi wao na taarifa nyingine.

Huenda tunaambiwa kila siku watu wamepotea tuna hangaika kuwatafuta kumbe wahusika wapo na hatupewi taarifa.
Ndugu yangu, waziri mpendwa Doctor GWAJIMA naomba utusaidie kuhusu hawa watoto!

View attachment 2896255
Wasichana zaidi ya 200 wamefungiwa tu kwenye nyumba moja kwamba wanapewa mafunzo ya dini, ina maana wazazi wa wanafunzi wote hawa walikuwa wamekaa wamerelax wanaona ni sawa? Bullshit
 
Wazazi washaambiwa watoto wao wakishashika juzuu wanapelekwa Arabuni na kupata mabwana wa kimanga.
 
dodoma misikiti imechipuka ghafla sana na inafadhiliwa na watu wa nje

ifatiliwe sana
kuna tishio kubwa la kiusalama huko mbele

nb
dodoma ndio mji mkuu wa kiselikali
miundo mbinu yote iko pale maandalizi yankuingamiza nchi hapo ni uwekezJi kama huo kwa miaka mingi ijayo

tushtuke ile misikiti

dar ikulu imehama kuikwepa zanzibar lakin sasa naona adui anatuwahi hatua mbili zaid
 
Wenye mamlaka wanasoma.
 
hii haitoi exemption kwamba hawa wasihadhibiwe wote ni waarifu tu.
tunahitaji watoto wetu waende shule.
wawe waisilamu au wakristo na si vinginevyo.
hivyo wanaofanya hivyo hawana haki!
Hujasikia huko Namtumbo,ambako Mchungaji Muinjilisti Erick Manyanya,na wazazi wa wanafunzi walioko Shule za Msingi na Secondary,wamewatoa shule,wako kanisani,wanamsubiri Yesu arudi.Au taarifa hii huna?
 
Wasichana zaidi ya 200 wamefungiwa tu kwenye nyumba moja kwamba wanapewa mafunzo ya dini, ina maana wazazi wa wanafunzi wote hawa walikuwa wamekaa wamerelax wanaona ni sawa? Bullshit
Umaskini ni changamoto kubwa. Mtu ukiwa na uwezo huwezo kukubali haya mambo, nina uhakika wakichunguza hapo tatizo kubwa ni umaskini
 
dodoma misikiti imechipuka ghafla sana na inafadhiliwa na watu wa nje

ifatiliwe sana
kuna tishio kubwa la kiusalama huko mbele

nb
dodoma ndio mji mkuu wa kiselikali
miundo mbinu yote iko pale maandalizi yankuingamiza nchi hapo ni uwekezJi kama huo kwa miaka mingi ijayo

tushtuke ile misikiti

dar ikulu imehama kuikwepa zanzibar lakin sasa naona adui anatuwahi hatua mbili zaid
Kwamba adui wa ikulu ni misikiti!
Kwamba ikulu imehama Dar kisa Zanzibar kuna misikiti?
Hizi akili za wapi?
 
Mohamed Said
Vp bado hoja yako kuwa serikali inawabeba wakristo kwenye maswala ya elimu inamshiko?
Hili ndio dini ya kiislamu na asili yake tangu mwanzo..
Elimu dunia hautiliwi mkazo
Mam...
Mbona unachanganya mambo?

Unajua kuwa serikali ilivunja EAMWS ili kuzuia Waislam wasijenge Chuo Kikuu?
Unajua kuwa serikali ilikataa kutoaa kibali kwa OIC kujenga ChuoKikuu Tanzania?

Unayajua yaliyokuwa yakifanyika Wizara ya Elimu na NECTA?
Haya ndiyo ninayozungumza mimi.

Kuhusu madrasa ya wasichana Dodoma hakuna kibaya kilichokuwa pale.
Madrasa haina ubaya wowote katika maadili na mafunzo yake.

Tatizo waliloona waliokwenda kukagua ni mazingira.

Haya mazingira wanadai ni duni.
Kipi cha ajabu hapo katika Tanzania hii?

Kuteka maji kwenye kibwawa leo imekuwa kitu cha ajabu?
Kote huko vijijini kuna maji ya bomba?

Halaumiwi mtu kwa kula ugali na papa wa kuchoma kila siku wala hakamatwi kuwa kafanya kosa.

Msongamano katika nyumba ni kosa?
Walichokitafuta hapo hawakukipata Allah katusitiri.

Hakuna mabinti wanaodhalilishwa.
Wanasema walimu watakuwa chini ya polisi na madrasa inafungwa.

Utadhani kuna jinai.

Lakini ndugu yangu una habari kuwa kuna kituo kimegunduliwa kinawafunzi watoto uchafu?

Hebu fananisha madrasa yetu na hiyo ya Wazungu ambao hata kuzungumza na viongozi waliofika hapo walikataa.

1707369744697.jpeg

Mazingira ya kituo chenye mazingira mazuri lakini wanafundisha uchafu serikali imekifunga

1707370012396.jpeg

Mazingira ya madrasa ya wasichana wa Kiislam Dodoma yanayoonekana ni hatarishi

View attachment 2897542
Mazingira ya kituo chenye mazingira mazuri lakini wanafundisha uchafu serikali imekifunga

View attachment 2897546
Mazingira ya madrasa ya wasichana wa Kiislam Dodoma yanayoonekana ni hatarishi

Mzee wangu usilikimbie tatizo kwa kuliremba.
Ishu hapo ni watoto kunyimwa elimu dunia. Elimu dunia inasaidia watoto kutambua mazingira yao na mila , desturi, na tamaduni zao.
Hao uliowatolea mfano hapo juu ni wahuni wanaotoa elimu dunia huku wakiingiza tamaduni zao za kimagharibi.
Hawa wote ni wahuni na waharibifu wa kizazi chetu sisi Watanzania.
 
Back
Top Bottom